Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

Mimi nadhani Clouds media wanaweza kuwa walitumika kumuingiza kumi nane maana angekaa kimya yasingemtokea
sabaya alidhani ni enzi za mwenda zake. alisahau vyombo vya habari vilipo sema "mwisho wa enzi"
 
Clouds wangeshida hili la kumsafisha Sabaya wangekul bingo
 
Watanzania tuna tatizo la mental slavery

Bado mna m-refer Sabaya kama Mheshimiwa Sabaya? Huwa nachukia sana hili neno, hasa napoona likitumika kwa viongozi wezi, waongo, majambazi na wenye uwezo mdogo wa akili. Afadhali turudi kwende "Ndugu"

Emancipate yourself from mental slavery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…