Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

S.H AMON mwwnyewe ashaanza kulivunja lile gorofa lake mtaa wa kongo na mchikichi
Watu wamevurugwa naona sahv zimebakia floor 3,4 tu awachie kiwanja Chao
RRONDO

Ova

S.H. AMON Kile kiwanja tu kilipo hawezi kuwakomoa

Maana hao warithi watakiuza kwa ma bilioni ama watapata mwekezaji ajenge maduka na wao awape fremu kazaaa
 
Angeuza Nyumba moja ale maisha halafu hiyo nyingine amkabidhi mtoto wake wa kike.
 
Hizi habari sio kweli acheni mambo ya vjiweni mtoto wakike ndio amemuokoa baba yake
Aliyemfungia ni wakiume na ugomvi ni wa muda mrefu sana
Diwani anakiri hilo
Huwezi kuuza nyumba kiholela
Lazima kata na mtaa wako wajue
Sasa Inamaana Diwani hajui na mashahidi hawajui?
Watoto walitaka kumuua Mzee wao

Diwani anakiri hata usafi wa chumba chake Mzee kina kaa Mwezi hakijafanyiwa usafi. Mzee amekula mavi yake unajua hilo?
Angekuwa amekula mavi yake si angekuwa kesha kufa au kalazwa hospitali.
 
S.H. AMON Kile kiwanja tu kilipo hawezi kuwakomoa

Maana hao warithi watakiuza kwa ma bilioni ama watapata mwekezaji ajenge maduka na wao awape fremu kazaaa
Inaelekea walishindwa elewana
Huyu bilionea naye anachungulia
Sana hela

Ova
 
Back
Top Bottom