S.H AMON mwwnyewe ashaanza kulivunja lile gorofa lake mtaa wa kongo na mchikichi
Watu wamevurugwa naona sahv zimebakia floor 3,4 tu awachie kiwanja Chao
RRONDO
Ova
Wamesemaje kwani?Mzee chai sana, nmemskiliza vizuri mwanae, mdogo wake na majirani nmegundua Mzee ni hamnazo.
Angekuwa amekula mavi yake si angekuwa kesha kufa au kalazwa hospitali.Hizi habari sio kweli acheni mambo ya vjiweni mtoto wakike ndio amemuokoa baba yake
Aliyemfungia ni wakiume na ugomvi ni wa muda mrefu sana
Diwani anakiri hilo
Huwezi kuuza nyumba kiholela
Lazima kata na mtaa wako wajue
Sasa Inamaana Diwani hajui na mashahidi hawajui?
Watoto walitaka kumuua Mzee wao
Diwani anakiri hata usafi wa chumba chake Mzee kina kaa Mwezi hakijafanyiwa usafi. Mzee amekula mavi yake unajua hilo?
Inaelekea walishindwa elewanaS.H. AMON Kile kiwanja tu kilipo hawezi kuwakomoa
Maana hao warithi watakiuza kwa ma bilioni ama watapata mwekezaji ajenge maduka na wao awape fremu kazaaa