Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

Daah...!
Labda ndugu yangu nikueleweshe kile ninachojua kuhusu dar es salaam na kaskazini yote kwa ujumla
Da'slam ni mkoa wa kibiashara
Wilaya zake 5 zinajitosheleza kimapato yenye hazi ya mkoa
Kwa upande wa utalii da'slam pia upo (ukanda wa pwani)
Vyanzo vya mapato ni vingi kuliko huko nyumbani(bandari ,uwanja wa ndege wenye shughuli nyingi za kibiasha kuliko yote tz)
And so on....
Kidogo upo sahihi Ila dar haina unique potential area hata moja kwahiyo kamwe haiwez kuizid Arusha na Moshi kimapato izo TAKWIMU zenu za mapato mnazo tegemeaga mziskie kutoka kwenye iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mchongo ya mkoloni mweuc huwaga Ni za uwongo na huwa wanayaiba mapato ya UTALIII kutoka Arusha na Moshi ili kuipaisha dar ionekane kuwa Ndio kinara ili kusudi isionekane kuwa dar city inajengwa na mapato kutoka Arusha na Moshi Ndio maana serikali yenu ya mchongo inaogopa kuweka data wazi kuwa sehemu zenye potential areas unique nchi hii ambazo Ni Arusha na moshi ndizo kinara wa mapato nchini sababu Ni ukweli usiopingika kuwa wageni wengi %zaidi ya 80 wanaenda Arusha na Moshi kwahiyo hizi sehemu mbili tz nzima Ndio kinara wa mapato lakin serikali yenu iliyooza inafichaga huu ukweli tangu Uhuru adi Sasa ili kuendelea kuchota pesa kisiri kutoka Arusha na moshi kuijenga dar ili kuwaficha watu wa kaskazini wasijue Ndio wanabadilisha data zile za kaskazini wanaipa dar zile za dar wanaipa kaskazini sababu wanajuwa wazi kuwa watu wa kaskazini wakigundua wao Ndio kinara wa mapato tz nzima alafu hakuna miradi yoyote ya kimaendeleo serikali inayofanya upande wa kaskazini Basi lazima watu wa kaskazini wata i question serikali ,nawao serikali adma yao kuiuwa Arusha na Moshi na kutopeleka maendeleo kabisa hii Ndio Sababu ya kuficha ukweli Tika Uhuru adi Sasa ,, Sasa huu utaahira wao wanao ufanyaga watu wa kaskazini tunajitambua tumesha ugundua Ndio maana tunesema enough is enough na Ndio maana hatuitambui hii serikali ya kinafki ya kibaguzi sisi wa kaskazini huwa tunaitambuaga serikali moja tu ,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA,Yaani SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATU WA ARUSHA NA MOSHI
 
Masoldiers waoga sana kufungwa yule jamaa yenu kelele kibao ...Ndani ya mkoa mmoja kila mtu ana idea yake😂😂😂Kwamba hamna msimamo kabisa
We endelea kupiga stori Zako za alinacha za kupashana sawa eeh habar ndo hii kwamba tayari Moshi na Arusha tumesha ungana sasa tuna jamhuri yetu wenyewe nchi yetu,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA ,Na soon itatambulika internationally na UNO, KM Nchi huru ili kusudi tuzitumie resources zetu za Arusha na moshi ili tuzinjenge Moshi na Arusha wenyewe na nchi yetu itakuwa newyork ya 2 ,na Arusha itakuwa jiji no,1 Africa nzima na hapo Ndio itakuwa mwisho wa iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc kututawala kinguvu na kuchota mapato na kwenda kuijenga dar ,maflyover, barabara ,hapo Ndio iyo serikali yenu ya kibaguzi itajuta kwanini ilikuwa Ina fanya ( UNEQUAL DISTRIBUTION OF RESOURCES) ,maksudi ili kutuhujumu Moshi na Arusha wakati sisi Ndio very potential areas Tz nzima na labda nkuambie tu sisi watu wa kaskazini (Arusha na Moshi) huwa hatunaga mentality ya uwoga na hofu sisi Ni majasiri kwahiyo tukiwa na adhima ya kufanya Jambo letu huwa hatumwogopagi mtu anaitwa binadamu anayetembea km sisi ,pia hatuogopagi kitwa inaitwa risasi au ety kitu inaitwa bomu,au ety kitu inaitwa chombo yoyote ya moto huwa tunaviona Ni uchafu tu vikitumika ety kuzuia sisi tusifanye adhma yetu Hilo halitawezekana hao watakao jaribu kutuzuia pamoja na izo takataka zao walizo zibeba tutawafanya mito ya damu na pia tutawafanya mabucha sisi hatunaga mchezo kwenye kudai haki zetu ama zetu ama zao zao wafe Wao au tufe sisi
 
View attachment 2414767✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu hizi mbili ndizo zinapokea Zaidi ya %80 ya watalii wote wa kigeni wanaoingia nchini na kisha serikali kuyatumia Mapato hayo kwenda kulijenga jiji la DARESALAAM ,kwa miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo
~Barabara za lami
~Fly over
~Madaraja
~Stendi za magari(daladala pamoja na za mabasi makubwa)
~Masoko ya kibiashara
~Vivuko
N.k,Na miradi mingine mingi mikubwa ya kimaendeleo

Sisemi kuwa ni vibaya serikali kuchukua mapato ya Arusha na Moshi na kwenda kuijenga dar City Ila kinacho leta ukakasi Ni kwamba kwanini serikali inaijenga dar pekee ake halafu inaziacha Arusha na Moshi pakiwa pakavu kama jangwa bila kuwepo miradi yoyote ya maendeleo miaka nenda Rudi tangu tupate Uhuru mpaka Sasa wakati resoures zinatoka kwenye ardhi yao huu si ubaguzi wa wazi wazi.

(1.)je.?swali hichi serikali inachokifanya kutakuwa kuna ubayaaaa wowote watu wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka Arusha na Moshi wakilalamika kuwa SERIKALI inakumbatia(UNEQUALLY DISTRIBUTION OF RESOURCES)?

(2.)Na je.?Ni Nini hatma ya Arusha city na Moshi ikiwa wao Ndio wahusika wanaoishi na izo UNIQUE POTENTIALY RESOURCES Tz nzima ,ambazo zinapatikana kwenye Maeneo yao wanayoishi Nawasilisha mada kwa wadau Naombeni tuilenge mada
hivi kijana kwanza umeshawahi kufika dar au 😁😁🤣🤣
 
na hata sijui leo jamaa kala nini huyu kinamchanganya akili na tumbo huyu kijana
Nimekula uzalendo na nime ushiba uzalendo pia kwahiyo kipi usichoekewa mnafki mmoja unajitia huelew subir mda cyo mrefu utaekewa Sawa eeh ujue tu kwamba tayari Moshi na Arusha tumesha ungana km tulivyo kuwa wamoja tangu ukoloni na kuunda jamhuri yetu wenyewe nchi yetu,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA ,Na soon itatambulika internationally na UNO, KM Nchi huru ili kusudi tuzitumie resources zetu za Arusha na moshi ili tuzinjenge Moshi na Arusha wenyewe na nchi yetu itakuwa newyork ya 2 ,na Arusha itakuwa jiji no,1 Africa nzima na hapo Ndio itakuwa mwisho wa iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc kututawala kinguvu na kuchota mapato na kwenda kuijenga dar ,maflyover, barabara ,hapo Ndio iyo serikali yenu ya kibaguzi itajuta kwanini ilikuwa Ina fanya ( UNEQUAL DISTRIBUTION OF RESOURCES) ,maksudi ili kutuhujumu Moshi na Arusha wakati sisi Ndio very potential areas Tz nzima na labda nkuambie tu sisi watu wa kaskazini (Arusha na Moshi) huwa hatunaga mentality ya uwoga na hofu sisi Ni majasiri kwahiyo tukiwa na adhima ya kufanya Jambo letu huwa hatumwogopagi mtu anaitwa binadamu anayetembea km sisi ,pia hatuogopagi kitwa inaitwa risasi au ety kitu inaitwa bomu,au ety kitu inaitwa chombo yoyote ya moto huwa tunaviona Ni uchafu tu vikitumika ety kuzuia sisi tusifanye adhma yetu Hilo halitawezekana hao watakao jaribu kutuzuia pamoja na izo takataka zao walizo zibeba tutawafanya mito ya damu na pia tutawafanya mabucha sisi hatunaga mchezo kwenye kudai haki zetu ama zetu ama zao zao wafe Wao au tufe sisi km inakuuma Sana kunywa sumu kafe huko
 
Sababu c unaona wivu nyie Ndio wale wale wafuasi wa serikali ya kibaguzi ,serikali ya mkoloni mweuc Ila nkupe habari kwa hujuma hii serikali yenu iliyooza inavyotufanyia watu wa kaskazini sisi tumefika mwisho hatuwez vumilia Tena huu utaaahira ,ulimbukenyi ,tutapigqna wafe wao tufe sisi lazima tuunde ,the Arusha republic ,(USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA HII ,PEKEE NDIO DAWA
Ningekushaurini muitishe referendum ili mtengeneze Jamhuri yenu kama mtaona kuna mtu atawaghasi, anzeni kuita ndugu zenu wote , toeni wote walioko kwenye ajira rudisheni nyumbani, hamisheni biashara zenu na uwekezaji wenu wote kaskazini. Otherwise unachangamsha tu genge hapa
 
Acha utaahira wewe wa bangi za arusha
View attachment 2414767✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu hizi mbili ndizo zinapokea Zaidi ya %80 ya watalii wote wa kigeni wanaoingia nchini na kisha serikali kuyatumia Mapato hayo kwenda kulijenga jiji la DARESALAAM ,kwa miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo
~Barabara za lami
~Fly over
~Madaraja
~Stendi za magari(daladala pamoja na za mabasi makubwa)
~Masoko ya kibiashara
~Vivuko
N.k,Na miradi mingine mingi mikubwa ya kimaendeleo

Sisemi kuwa ni vibaya serikali kuchukua mapato ya Arusha na Moshi na kwenda kuijenga dar City Ila kinacho leta ukakasi Ni kwamba kwanini serikali inaijenga dar pekee ake halafu inaziacha Arusha na Moshi pakiwa pakavu kama jangwa bila kuwepo miradi yoyote ya maendeleo miaka nenda Rudi tangu tupate Uhuru mpaka Sasa wakati resoures zinatoka kwenye ardhi yao huu si ubaguzi wa wazi wazi.

(1.)je.?swali hichi serikali inachokifanya kutakuwa kuna ubayaaaa wowote watu wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka Arusha na Moshi wakilalamika kuwa SERIKALI inakumbatia(UNEQUALLY DISTRIBUTION OF RESOURCES)?

(2.)Na je.?Ni Nini hatma ya Arusha city na Moshi ikiwa wao Ndio wahusika wanaoishi na izo UNIQUE POTENTIALY RESOURCES Tz nzima ,ambazo zinapatikana kwenye Maeneo yao wanayoishi Nawasilisha mada kwa wadau Naombeni tuilenge mada
 
Kwa akili yako inavyokutuma unaamini kabisa kwamba sekta ya utalii ndo inalijenga taifa kwa asilimia mia? Wewe are you serious? Hivi unataka kushindanisha huko na eneo lenye bandari? Seriously? Ila na nyie ukabila utawaua yaani mnatamani hata kamji kenu katengwe kawe taifa la peke yake.

Pole Sana najuwa akili y'ako unesizi na kudumaa kwa sababu ya kuzoea kusubiria data za mchongo za uwongo za kuambiwa na iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc nanyie mlivyo mazumbukuku huwa mnaaminigi tu kila mnachoambiwa bila KU interprate data ata mkiambiwa kinondoni pekee ake imekusanya mapato trillion 20 Huwaga mnaamin tu hamjuagi izo data ni za mchongo Sasa ili kukusaidia iyo akili angalau upate mwanga ushtuke utoke gizani tororo ulipo embu kwanza pita macho apa
Ukweli uliopo Ni kwamba dar haina unique potential area hata moja kwahiyo kamwe haiwez kuizid Arusha na Moshi kimapato izo TAKWIMU zenu za mapato mnazo tegemeaga mziskie kutoka kwenye iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mchongo ya mkoloni mweuc huwaga Ni za uwongo na huwa wanayaiba mapato ya UTALIII kutoka Arusha na Moshi ili kuipaisha dar ionekane kuwa Ndio kinara ili kusudi isionekane kuwa dar city inajengwa na mapato kutoka Arusha na Moshi Ndio maana serikali yenu ya mchongo inaogopa kuweka data wazi kuwa sehemu zenye potential areas unique nchi hii ambazo Ni Arusha na moshi ndizo kinara wa mapato nchini sababu Ni ukweli usiopingika kuwa wageni wengi %zaidi ya 80 wanaenda Arusha na Moshi kwahiyo hizi sehemu mbili tz nzima Ndio kinara wa mapato lakin serikali yenu iliyooza inafichaga huu ukweli tangu Uhuru adi Sasa ili kuendelea kuchota pesa kisiri kutoka Arusha na moshi kuijenga dar ili kuwaficha watu wa kaskazini wasijue Ndio wanabadilisha data zile za kaskazini wanaipa dar zile za dar wanaipa kaskazini sababu wanajuwa wazi kuwa watu wa kaskazini wakigundua wao Ndio kinara wa mapato tz nzima alafu hakuna miradi yoyote ya kimaendeleo serikali inayofanya upande wa kaskazini Basi lazima watu wa kaskazini wata i question serikali ,nawao serikali adma yao kuiuwa Arusha na Moshi na kutopeleka maendeleo kabisa hii Ndio Sababu ya kuficha ukweli Toka Uhuru adi Sasa ,, Sasa huu utaahira wao wanao ufanyaga watu wa kaskazini tunajitambua tumesha ugundua Ndio maana tunesema enough is enough na Ndio maana hatuitambui hii serikali ya kinafki ya kibaguzi sisi wa kaskazini huwa tunaitambuaga serikali moja tu ,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA,Yaani SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATU WA ARUSHA NA MOSH
 
Daah...!
Labda ndugu yangu nikueleweshe kile ninachojua kuhusu dar es salaam na kaskazini yote kwa ujumla
Da'slam ni mkoa wa kibiashara
Wilaya zake 5 zinajitosheleza kimapato yenye hazi ya mkoa
Kwa upande wa utalii da'slam pia upo (ukanda wa pwani)
Vyanzo vya mapato ni vingi kuliko huko nyumbani(bandari ,uwanja wa ndege wenye shughuli nyingi za kibiasha kuliko yote tz)
And so on....
Mkuu usitumie nguvu kuwaelewesha hao vichwa ngumu kwamba dar es salaam inategemea kaskazini...tuwape mfano mapato dar inakusanya tril 14 ambayo ni almost 89% ya mapato yote ya Tz nzima ,alinganishe na mikoa ya kaskazini yote hata tril moja haifiki

Kuna collocation hapo na achano kisema 😂😂😂..Dar iko fully kabisa kila sehemu sasa tuulize tu mapato ya bandari anajua ni sh ngapi unaweza jumlisha huo utalii wao na Arusha na Moshi wasifikie hayo mapato ya bandari tu...Kuna Kuna kiwanja cha ndege ,soko kubwa linahudumia east Africa pale kariakoo.

Je anachoongea unaweza kumuelewesha kumbe sio msomi na hata hajui nin kinaendelea . instead kusema labda Kujenga dodoma anasema eti Dar 😂😂😂

Huu Uzi kama una akili timamu huwezi kupigishana nae kelele muache tu..

Unajua Siri nakupa nimeishi huko kaskazini miaka kibao utoto wangu wote so najua hawa wanapandikizwa chuki kweny mioyo yao ndo chanzo mtoto mdogo anachukia watanzania wenzie eti kwa wanajtegemea .
.wakati ni ishu ya kisiasa wao kama wao hata hao viongozi hao hawanaga agenda za maana kugombana wenyewe kwa wenyewe..si wanae mbunge mara na mkurugenzi wa jiji hawapatakani .wanajtegemea nn?😂😂
 
Kwa akili yako inavyokutuma unaamini kabisa kwamba sekta ya utalii ndo inalijenga taifa kwa asilimia mia? Wewe are you serious? Hivi unataka kushindanisha huko na eneo lenye bandari? Seriously? Ila na nyie ukabila utawaua yaani mnatamani hata kamji kenu katengwe kawe taifa la peke yake.
Mwambie utalii hata bandari ya dar tu haifikii Pato huyo jamaa ni mlevi achana nae anaongea vitu wala hatambui.
 
Pole Sana najuwa akili y'ako unesizi na kudumaa kwa sababu ya kuzoea kusubiria data za mchongo za uwongo za kuambiwa na iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc nanyie mlivyo mazumbukuku huwa mnaaminigi tu kila mnachoambiwa bila KU interprate data ata mkiambiwa kinondoni pekee ake imekusanya mapato trillion 20 Huwaga mnaamin tu hamjuagi izo data ni za mchongo Sasa ili kukusaidia iyo akili angalau upate mwanga ushtuke utoke gizani tororo ulipo embu kwanza pita macho apa
Ukweli uliopo Ni kwamba dar haina unique potential area hata moja kwahiyo kamwe haiwez kuizid Arusha na Moshi kimapato izo TAKWIMU zenu za mapato mnazo tegemeaga mziskie kutoka kwenye iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mchongo ya mkoloni mweuc huwaga Ni za uwongo na huwa wanayaiba mapato ya UTALIII kutoka Arusha na Moshi ili kuipaisha dar ionekane kuwa Ndio kinara ili kusudi isionekane kuwa dar city inajengwa na mapato kutoka Arusha na Moshi Ndio maana serikali yenu ya mchongo inaogopa kuweka data wazi kuwa sehemu zenye potential areas unique nchi hii ambazo Ni Arusha na moshi ndizo kinara wa mapato nchini sababu Ni ukweli usiopingika kuwa wageni wengi %zaidi ya 80 wanaenda Arusha na Moshi kwahiyo hizi sehemu mbili tz nzima Ndio kinara wa mapato lakin serikali yenu iliyooza inafichaga huu ukweli tangu Uhuru adi Sasa ili kuendelea kuchota pesa kisiri kutoka Arusha na moshi kuijenga dar ili kuwaficha watu wa kaskazini wasijue Ndio wanabadilisha data zile za kaskazini wanaipa dar zile za dar wanaipa kaskazini sababu wanajuwa wazi kuwa watu wa kaskazini wakigundua wao Ndio kinara wa mapato tz nzima alafu hakuna miradi yoyote ya kimaendeleo serikali inayofanya upande wa kaskazini Basi lazima watu wa kaskazini wata i question serikali ,nawao serikali adma yao kuiuwa Arusha na Moshi na kutopeleka maendeleo kabisa hii Ndio Sababu ya kuficha ukweli Toka Uhuru adi Sasa ,, Sasa huu utaahira wao wanao ufanyaga watu wa kaskazini tunajitambua tumesha ugundua Ndio maana tunesema enough is enough na Ndio maana hatuitambui hii serikali ya kinafki ya kibaguzi sisi wa kaskazini huwa tunaitambuaga serikali moja tu ,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA,Yaani SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATU WA ARUSHA NA MOSH
tulia mkuu mbona umeandika ngonjera ndefu sana kiufup dar ni kitovu cha biashara na ina sehem nyingi za kuingiza mapato .

usiifananishe dar na arusha alafu hii nchi inaenda kwa majimbo et pesa za arusha zitumiwe arusha ukitaka mfumo huo kuna sehemu zitateseka
 
NIMESOMA NA WATOTO WA ARUSHA WENGI ILIKUWA IKIFIKA LIKIZO YA CHUO HAWATAKI KURUDI MAKWAO WATOTO WA KIKE WANAPELEKEWA SANA MOTO HADI WANAPASAHAU KWAO PORINI WATOTO WA ARUSHA WANAJIKUTAGA WAJANJA NA WASELA SANA KUMBE NI WACHOVU NA WASHAMBA SANA
 
Ningekushaurini muitishe referendum ili mtengeneze Jamhuri yenu kama mtaona kuna mtu atawaghasi, anzeni kuita ndugu zenu wote , toeni wote walioko kwenye ajira rudisheni nyumbani, hamisheni biashara zenu na uwekezaji wenu wote kaskazini. Otherwise unachangamsha tu genge hapa
Pole Sana najuwa unaumia sana na kuhuzunika moyoni Ila kufa kiume hapa hatujifurahisha km ulivyo na mentality za kusubur kuambiwa kutoka kwny iyo serikali ya kibaguzi ya mkoloni mweuc yaan ata km Ni vya uwongo huwa hamuhoji Wala hamwez kutambua chochote sababu mkoloni mweuc alisha gundua udhaifu wenu upo API Ila kwa sisi watu wa kaskazini huwa ata iyo serikali yenu huwa inafahamu kuwa sisi pekee Ndio maadui wao sababu Ndio watu pekee ambao hatuyumbishwi Wala kudanganywa kitoto km wanavyo taka wao sababu IQ Zetu Kabla ya kukubali kitu lazima tu ki interprate na kuhoji icho ndicho wao hawakitaki Ndio sababu ya kutuchukia wao wanataka sisi tuwe km mikoa mingine kila tunachoambiwa tukubali tu ata km kinaonekana wazi Ni Cha uwongo Sasa sisi tumesema ,the Arusha republic ,(USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA ,IMEPITA,soon itakuwa formal republic kwani kaskazini hakuna anaye pinga hili
 
View attachment 2414767✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu hizi mbili ndizo zinapokea Zaidi ya %80 ya watalii wote wa kigeni wanaoingia nchini na kisha serikali kuyatumia Mapato hayo kwenda kulijenga jiji la DARESALAAM ,kwa miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo
~Barabara za lami
~Fly over
~Madaraja
~Stendi za magari(daladala pamoja na za mabasi makubwa)
~Masoko ya kibiashara
~Vivuko
N.k,Na miradi mingine mingi mikubwa ya kimaendeleo

Sisemi kuwa ni vibaya serikali kuchukua mapato ya Arusha na Moshi na kwenda kuijenga dar City Ila kinacho leta ukakasi Ni kwamba kwanini serikali inaijenga dar pekee ake halafu inaziacha Arusha na Moshi pakiwa pakavu kama jangwa bila kuwepo miradi yoyote ya maendeleo miaka nenda Rudi tangu tupate Uhuru mpaka Sasa wakati resoures zinatoka kwenye ardhi yao huu si ubaguzi wa wazi wazi.

(1.)je.?swali hichi serikali inachokifanya kutakuwa kuna ubayaaaa wowote watu wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka Arusha na Moshi wakilalamika kuwa SERIKALI inakumbatia(UNEQUALLY DISTRIBUTION OF RESOURCES)?

(2.)Na je.?Ni Nini hatma ya Arusha city na Moshi ikiwa wao Ndio wahusika wanaoishi na izo UNIQUE POTENTIALY RESOURCES Tz nzima ,ambazo zinapatikana kwenye Maeneo yao wanayoishi Nawasilisha mada kwa wadau Naombeni tuilenge mada
Dar kuna viwanda
Dar kuna bandari
Dar kuna HQ za walipa kodi wakubwa kwa maana ya Corporations
Dar kuna watu wengi
 
Acha utaahira wewe wa bangi za arusha
Unaonekana akili,ufahamu,fikra zako zipo kwenye giza tororo Sana Ila ckulaumu wewe Ila mchawi wako Ni iyo serikali y'ako ilikuwahi kufahamuh udhaifu wako upo wapi kwahiyo ndugu yañgu we Ni mateka Tena upo kuzimu penye Giza Nene sanaaa kwanza kukusaidia japo kidogooo soma hii 👇
dar haina unique potential area hata moja kwahiyo kamwe haiwez kuizid Arusha na Moshi kimapato izo TAKWIMU zenu za mapato mnazo tegemeaga mziskie kutoka kwenye iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mchongo ya mkoloni mweuc huwaga Ni za uwongo na huwa wanayaiba mapato ya UTALIII kutoka Arusha na Moshi ili kuipaisha dar ionekane kuwa Ndio kinara ili kusudi isionekane kuwa dar city inajengwa na mapato kutoka Arusha na Moshi Ndio maana serikali yenu ya mchongo inaogopa kuweka data wazi kuwa sehemu zenye potential areas unique nchi hii ambazo Ni Arusha na moshi ndizo kinara wa mapato nchini sababu Ni ukweli usiopingika kuwa wageni wengi %zaidi ya 80 wanaenda Arusha na Moshi kwahiyo hizi sehemu mbili tz nzima Ndio kinara wa mapato lakin serikali yenu iliyooza inafichaga huu ukweli tangu Uhuru adi Sasa ili kuendelea kuchota pesa kisiri kutoka Arusha na moshi kuijenga dar ili kuwaficha watu wa kaskazini wasijue Ndio wanabadilisha data zile za kaskazini wanaipa dar zile za dar wanaipa kaskazini sababu wanajuwa wazi kuwa watu wa kaskazini wakigundua wao Ndio kinara wa mapato tz nzima alafu hakuna miradi yoyote ya kimaendeleo serikali inayofanya upande wa kaskazini Basi lazima watu wa kaskazini wata i question serikali ,nawao serikali adma yao kuiuwa Arusha na Moshi na kutopeleka maendeleo kabisa hii Ndio Sababu ya kuficha ukweli Toka Uhuru adi Sasa ,, Sasa huu utaahira wao wanao ufanyaga watu wa kaskazini tunajitambua tumesha ugundua Ndio maana tunesema enough is enough na Ndio maana hatuitambui hii serikali ya kinafki ya kibaguzi sisi wa kaskazini huwa tunaitambuaga serikali moja tu ,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA,Yaani SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATU WA ARUSHA NA MOSH
 
View attachment 2414767✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu hizi mbili ndizo zinapokea Zaidi ya %80 ya watalii wote wa kigeni wanaoingia nchini na kisha serikali kuyatumia Mapato hayo kwenda kulijenga jiji la DARESALAAM ,kwa miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo
~Barabara za lami
~Fly over
~Madaraja
~Stendi za magari(daladala pamoja na za mabasi makubwa)
~Masoko ya kibiashara
~Vivuko
N.k,Na miradi mingine mingi mikubwa ya kimaendeleo

Sisemi kuwa ni vibaya serikali kuchukua mapato ya Arusha na Moshi na kwenda kuijenga dar City Ila kinacho leta ukakasi Ni kwamba kwanini serikali inaijenga dar pekee ake halafu inaziacha Arusha na Moshi pakiwa pakavu kama jangwa bila kuwepo miradi yoyote ya maendeleo miaka nenda Rudi tangu tupate Uhuru mpaka Sasa wakati resoures zinatoka kwenye ardhi yao huu si ubaguzi wa wazi wazi.

(1.)je.?swali hichi serikali inachokifanya kutakuwa kuna ubayaaaa wowote watu wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka Arusha na Moshi wakilalamika kuwa SERIKALI inakumbatia(UNEQUALLY DISTRIBUTION OF RESOURCES)?

(2.)Na je.?Ni Nini hatma ya Arusha city na Moshi ikiwa wao Ndio wahusika wanaoishi na izo UNIQUE POTENTIALY RESOURCES Tz nzima ,ambazo zinapatikana kwenye Maeneo yao wanayoishi Nawasilisha mada kwa wadau Naombeni tuilenge mada
Chadema 2015 ilishinda kwa 92% mkoa huo
 
Back
Top Bottom