Kollebundle
Senior Member
- Nov 9, 2022
- 176
- 109
- Thread starter
- #81
Ndio ujue kuwa sijapinda mgongo bure Wala kupoteza mda bure km unavyo nidanganya hapa naongea ukweli ambao cku zote ukiuongea mtz ambaye amezoea kuisubiria serikali ya kibaguzi ya mkoloni mweuc kumwambia yaliyojiri bila yy mwenyewe kudadisi,kuchimba kugundua ukweli na uwongo Ni you Ndio maana unakurupuka nakuniona mm nafanya utaahira hapa pole saana Unaonekana akili,ufahamu,fikra zako zipo kwenye giza tororo Sana Ila ckulaumu wewe Ila mchawi wako Ni iyo serikali y'ako ilikuwahi kufahamuh udhaifu wako upo wapi kwahiyo ndugu yañgu we Ni mateka Tena upo kuzimu penye Giza Nene sanaaa kwanza kukusaidia japo kidogooo soma hii 👇Yaani mtu anapinda mgongo kabisa anaandika upupu kama huu?
dar haina unique potential area hata moja kwahiyo kamwe haiwez kuizid Arusha na Moshi kimapato izo TAKWIMU zenu za mapato mnazo tegemeaga mziskie kutoka kwenye iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mchongo ya mkoloni mweuc huwaga Ni za uwongo na huwa wanayaiba mapato ya UTALIII kutoka Arusha na Moshi ili kuipaisha dar ionekane kuwa Ndio kinara ili kusudi isionekane kuwa dar city inajengwa na mapato kutoka Arusha na Moshi Ndio maana serikali yenu ya mchongo inaogopa kuweka data wazi kuwa sehemu zenye potential areas unique nchi hii ambazo Ni Arusha na moshi ndizo kinara wa mapato nchini sababu Ni ukweli usiopingika kuwa wageni wengi %zaidi ya 80 wanaenda Arusha na Moshi kwahiyo hizi sehemu mbili tz nzima Ndio kinara wa mapato lakin serikali yenu iliyooza inafichaga huu ukweli tangu Uhuru adi Sasa ili kuendelea kuchota pesa kisiri kutoka Arusha na moshi kuijenga dar ili kuwaficha watu wa kaskazini wasijue Ndio wanabadilisha data zile za kaskazini wanaipa dar zile za dar wanaipa kaskazini sababu wanajuwa wazi kuwa watu wa kaskazini wakigundua wao Ndio kinara wa mapato tz nzima alafu hakuna miradi yoyote ya kimaendeleo serikali inayofanya upande wa kaskazini Basi lazima watu wa kaskazini wata i question serikali ,nawao serikali adma yao kuiuwa Arusha na Moshi na kutopeleka maendeleo kabisa hii Ndio Sababu ya kuficha ukweli Toka Uhuru adi Sasa Ndio maana unaona toka Uhuru mpaka Sasa Arusha na Moshi zipogo vile vile hazina miradi ya kimkakati hata dalili hakuna ,, Sasa huu utaahira wao wanao ufanyaga watu wa kaskazini tunajitambua tumesha ugundua Ndio maana tunesema enough is enough na Ndio maana hatuitambui hii serikali ya kinafki ya kibaguzi sisi wa kaskazini huwa tunaitambuaga serikali moja tu ,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA,Yaani SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATU WA ARUSHA NA MOSH