ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Safi watu kama nyie ndo unahitajika kweli kweli
 
@cocastic nasikia umekimbizwa Arusha huko

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wengi kutoka Arusha wakienda kutafuta maisha dar wengi wao wamashindwa maisha, dar siyo wengi kabisa hawajui kushakalika akili zao zimezoea kwao.
Dar papaya unakuta mwanaume jitu kubwa linajipaka poda,ndo maana machalii wa chuga hawapendi kukaa dar ,kusema kweli dar papaya sana kwanzA hali ya hewa kama tuko jehanamu,ya nini mateso yote hayo ni bora nikawa chuga home nikafaidi hali hali ya hewa safi
 
Arusha hakuna hela .
Arusha uchawi na makafara yamezidi tena watoto wengie wametolewa uhai kipindi ya machimbo ya mawe wake za watu wameacha familia zao kosa pesa .

Arusha maskini wengi maana warusha wachawi kama nini .
Pili hawapendi maendeleo ya watu .
Ukinunua shamba au kisehemu kwako wanakusumbua hadi basi .

Arusha ni mkoa wa ziki kama huamini hama uende mahali pengine dar utafanikiwa kama umefuata hela ilansio mkoa rahisi kihivyoo uchawi ni dili huko kabisa.

Jingine Arusha hakuna hela ukifanikiwa Arusha ni umeaga kwenu
 
Master mbona unaonge mambo ya zamNi sana@rusha ya sasa sio kama arusha ya zamani hata bibi kizee anapaka wanja
 
Hujui tu yaliyofichwa kwenye kapeti maisha ya arusha uchawi umezidi nenda pale stendi kubwa fanya research utajua dar na arusha ndio mikoa inayoleta waganga kushinda mikoa mingine jiulize kwanini
Yani ukiona waganga wapo wengi Town khaa chini jiulize kwanini?utajua kuwa kuna ela nyingi tu,
 

Mkuu, ninyi watu wa huko asili yenu ni wapi? Hivi ni watanzania ninyi?
 
Vijana wengi hapo town syo waaminifu wana usela nnya sana yan ukiwauliza tu na wakatambua wew ni mgen basi wanakupigia mipango ya kukukaba pia mfanye mpango mpate Stendi ya maana kama ile dom,Dar au Moro maana hyo ya sasa usalama kwa usiku ni mdogo sna kwa ufupi huwez kulala hapo stendi wakat pale dom watu tunalala fresh bila wasi pia mjitahidi muviondoe hvo vipanya a.k.a Hiace na mlete makosta ya kibabu ili yaendane na hadhi ya huo mji wenu.Na mwisho nawapa kongole wadada na mashangazi zenu wanajituma sana katika kutafuta pesa unakuta mtoto mkali mchanga wa maka kabsa lakin hawajali wapo road wanachoma mahindi kwa ufupi wanafanana na hao majiran zenu wa Kilimanjaro ova.
 
Mkuu, ninyi watu wa huko asili yenu ni wapi? Hivi ni watanzania ninyi?
Sisi watu wa huku ndo maana tunahita United state of arusha,nimuunganiko wa mitaa yote inayopatikana chugah,huku tunajitosheleza kwa kila kitu,tuna vyakula vya kutosha,uchumi wa huku upo vinzuri,watalii wapo kama maembe sokoni,kusema kweli serikali ingefanya arusha iwe inchi inayojitegemea kivyake
 
Safi mkuu,stend kubwa inajengwa dampo huko arusha chini,ndonitakuwa stendi kubwa africa mashariki na kati,kuhusu vipanya vitapelekwa bush na zitakuja mansion kama ya mwendokas
 
Sijazaliwa Arusha, mimi ni wakuja lakini huniambii kitu I love Arusha, Arusha is my city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ