Arusha: Polisi yamshikilia Jaina Mchomvu kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Miaka 12 kisha kuficha mwili wake uvunguni

Arusha: Polisi yamshikilia Jaina Mchomvu kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Miaka 12 kisha kuficha mwili wake uvunguni

Aliyeuliwa Ni mtoto wa nyumba nyingine sii hiyo ya Jaina,Ila mwili wake ndo ulifichwa kwenye nyumba ya Jaina
ooh kwa maana hiyo huyo Jaina anajua nini kinaendelea kwanini akimbie, hapo nimeelewa
 
Aiseee


Kwani Jaina baada ya kukiri kuua hakusema sababu iliyopelekea afanye mauaji? Uchunguzi wa chanzo ungeanzia hapo na kisha tuchunguze wahusika wengine kama wapo.

Haki Kwa Mariam Juma.
Ukifuatulia kwa karibu utakuta linajiandaa kugombea nafasi fulani uchaguzi ujao! Mashenzi sana haya maviumbe!
 
Wanamshikilia ya nini?

Si tuliambiwa KIFO NI KIFO TU!
 
Back
Top Bottom