"Arusha sio Tanzania"

Hiki kichaka tunakitafutia dawa....inaonekana kodi za mageti ya ngorongoro, tarangire, mt kilimanjaro nk yanakupa kiburi sana...vinginevyo pale arusha mjini hamna kitu...
Punguani wahed... Kwahiyo na Dar unataka wasitambie bandari yao?

Unajua Utalii umeajiri na watu wangapi wamejiajiri kupitia kwayo? Hizo pesa zinazolipwa kodi ni faida tu ya makampuni ya kitalii na mahotel yaliyoko Arusha, hizo tozo za park wala si chochote si lolote..
 
Hizi mada za kitoto tulishazikataa humu JF, arusha haina kitu chochote cha tofauti hapa tanzania nimetembea karibia mikoa yote siwezi kutifautisha kati ya arusha, katavi, lindi, mtwara, kigoma n.k yote mikoa iko sawa tu
 
Dah... Watu wa Arusha hata wakijamba ni kama uturi tu[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Hahaha...huko wanakaa wakaskazini wengi zaidi.

Nyie waswahili zenu ni mwananyamala, Tandale, Manzese na wengine mmetupwa nje ya jiji kabisa

UKWELI UNAUMA....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
True,ukiwaondoa wakaskazini Dar utakuwa umeidororesha kwani wanaokimbiza Dar ni watu wa kaskazini,wenyeji wanalikimbia jiji.
 
Ila tuseme ukweli wanaokimbiza Dar ni watu wa kaskazini.
 
Mkuu hiyo Dar imejengwa na watu wakuja hasa Wachagga,

Wazaramo,Wakwere na Wandangereko Hamna chenu tena inazidi kuwa historia.
 
Hizi mada za kitoto tulishazikataa humu JF, arusha haina kitu chochote cha tofauti hapa tanzania nimetembea karibia mikoa yote siwezi kutifautisha kati ya arusha, katavi, lindi, mtwara, kigoma n.k yote mikoa iko sawa tu
Mbona povu mkuu [emoji23]

Sasa si uachane na mada hii uchangie zingine chief?
 
Zamani nami nilikuwa mbishi lakini siku moja nilioneshwa takwimu hizi za TRA nikakubali. Wengi wetu hutazama vitu kihisia na si kiuhalisia. Lakini at the end of the day, namba hazidanganyi.
 
Mambo ya Benghazi na Tripoli yalianza hivi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…