Dogo huna unachojua lakini unajitahidi sana kujifanya unajua angali hujui chochote.. Sasa nakupa tu infos zitakazokusaidia ili usiendelee kupumbazwa na wajinga wajinga..
Hizi ni data za TRA, sasa ili na wewe nikuone unaleta hoja basi niletee data yeyote ya serikali inayosema Mbeya au huko unakosema kunatoa pato kubwa kwa taifa kuliko kwingine. Usiniwekee maneno ya JF ambayo kimsingi hapa unaandika chochote unachojisikia kukiandika..
Mwaka 2014/15 na 2015/16 TRA walikusanya kodi kama ifuatavyo.. Sote tunajua kodi ndiyo main source ya pato la taifa..
View attachment 506206
Hapo sasa tofautisha ukusanyaji wa Mbeya, Mwanza, Iringa na Arusha na Kilimanjaro.. Kimsingi tu ukichukua pato la Mbeya + Iringa + Mwanza bado halifikii pato pekee la Arusha.. Pia ukichukua pato la Arusha na Kilimanjaro ni jumla ya pato lote la mikoa ya kanda ya ziwa jumlisha na Mbeya na Iringa..
Hii ni kwa mwaka 2016/17 ambao bado ukusanyaji unaendelea.. Hapa pia Arusha inaendelea kuzigalagaza Mbeya na Mwanza..
View attachment 506210 View attachment 506211
Sasa I challenge you uniletee data za BOT au kokote kule kwenye document au link ya verified government institution kusupport kile ambacho wewe ulikileta..