Hiyo yote sababu mlikubali kulamba miguu ya wazungu kwa kukumbatia ukatoliki wao.
Kuthibitisha hilo angalia na level za Wilaya. Maana Ukileta mbeya hapa ni Wazi wilaya zimesogea mahala Fulani,Sehemu pekee ambayo ukifika Tanzania na usifike hapo wewe hujafika Tanzania ni Dar Es Salaam.
Ukitaka kujua maendeleo ya mkoa angalia mchango wa mkoa husika katika pato la taifa.
Wakati Dar ipo 7.1Trilion Arusha ipo 2.1 Trilion ikiwa ni ya 7 ikipitwa hata na Mbeya na Iringa na Morogoro.
Usizungumzie Mwanza maana ni ya Pili namba hazidanganyi ila maneno yanadanganya.
Labda tuseme Arusha ni mkoa wenye mbwembwe nyingi na makeke ya watu wake lakini ukifuatilia namba ndo unajua huu mkoa usingekua makao makuu ya EA huenda ungekua ni mji wa ajabu sana. Sijui sasa ni mji wa maana katika lipi
AiseeeeehSehemu pekee ambayo ukifika Tanzania na usifike hapo wewe hujafika Tanzania ni Dar Es Salaam.
Ukitaka kujua maendeleo ya mkoa angalia mchango wa mkoa husika katika pato la taifa.
Wakati Dar ipo 7.1Trilion Arusha ipo 2.1 Trilion ikiwa ni ya 7 ikipitwa hata na Mbeya na Iringa na Morogoro.
Usizungumzie Mwanza maana ni ya Pili namba hazidanganyi ila maneno yanadanganya.
Labda tuseme Arusha ni mkoa wenye mbwembwe nyingi na makeke ya watu wake lakini ukifuatilia namba ndo unajua huu mkoa usingekua makao makuu ya EA huenda ungekua ni mji wa ajabu sana. Sijui sasa ni mji wa maana katika lipi
Huyu mleta mada sio mtanzania na thread yake ina ajenda fulani isiyo wazi. Fuatilieni threads anazoanzisha na comments zake.
Huyo jamaa amekuwa akipigia debe sana suala la jumuiya ya Afrika mashariki kwa sababu wameona watanzania wanalipuuza sasa amekuja na hoja ya kipumbavu kabisa. Baadae watasema Kagera na Kigoma sio Tanzania. Tuwe makini na hao watu wa nchi jirani. Huwezi kwenda makao makuu ya UN New York halafu ukasema New York sio Marekani.
Watu aina ya mleta mada ni wa kuwafungulia mashtaka ya uhaini.
Mzuka. No offence!huku nilipo
Naona watu wa Kilimanjaro, Arusha na Nairobi mmeungana na lengo lenu kuichimba Dar es Salaam na watu wa Pwani...acheni wivu vijana aliyetangulia ameshatangulia cha msingi mjipange mrudi na mjenge makwenu ili miji hiyo ifikie standard za Miji na ustarabu wa Pwani.
No offense just reality.
Hahaha...hata huoni aibu kuandika hayo?Naona watu wa Kilimanjaro, Arusha na Nairobi mmeungana na lengo lenu kuichimba Dar es Salaam na watu wa Pwani...acheni wivu vijana aliyetangulia ameshatangulia cha msingi mjipange mrudi na mjenge makwenu ili miji hiyo ifikie standard za Miji na ustarabu wa Pwani.
No offense just reality.
Arusha yenyewe inajengwa na serikali baada ya kuminya mikoa mingine, lakini hawa mamangi kelele nyiiingi kama wakenya tamaa zitawauagaSehemu pekee ambayo ukifika Tanzania na usifike hapo wewe hujafika Tanzania ni Dar Es Salaam.
Ukitaka kujua maendeleo ya mkoa angalia mchango wa mkoa husika katika pato la taifa.
Wakati Dar ipo 7.1Trilion Arusha ipo 2.1 Trilion ikiwa ni ya 7 ikipitwa hata na Mbeya na Iringa na Morogoro.
Usizungumzie Mwanza maana ni ya Pili namba hazidanganyi ila maneno yanadanganya.
Labda tuseme Arusha ni mkoa wenye mbwembwe nyingi na makeke ya watu wake lakini ukifuatilia namba ndo unajua huu mkoa usingekua makao makuu ya EA huenda ungekua ni mji wa ajabu sana. Sijui sasa ni mji wa maana katika lipi
Alikwambia ni mtanzania?Cicero Utanzania wako umetiwa mashaka.
hahaaa...acha ujinga bana.hivi unamaanisha wakenya meno yetu yameoza au?Na kweli arusha sio Tanzania, maana hata watu wa kule kama wakenya tu hata meno yao yameoza.....
Huyo mwanamke mwenye tako mbinuko na jicho legevu kwenye Avatar yako ni wewe au snura?Mpanda hatuna watu wa hivyo atakuwa wa kaliua huyo
Utaifa gani unaotufanya masikini kila budget Sungura wetu mdogo tugawaneYaani mTz anaungana na mKenya kuzungumzis ukanda. Kenyans ambao hatujui how many will immigrate baada ya uchaguzi wao mkuu. Shame on any Tanzanian anaejivunia ukanda kuwa ni kitu chema kuliko utaifa wake... shame
prophet of doom...hakuna vita vitatokea kenya.tuombee mema sio mabayaYaani mTz anaungana na mKenya kuzungumzis ukanda. Kenyans ambao hatujui how many will immigrate baada ya uchaguzi wao mkuu. Shame on any Tanzanian anaejivunia ukanda kuwa ni kitu chema kuliko utaifa wake... shame