"Arusha sio Tanzania"

"Arusha sio Tanzania"

Hiyo yote sababu mlikubali kulamba miguu ya wazungu kwa kukumbatia ukatoliki wao.

Sidhani kama ni kukumbatia wazungu nadhani kuna kitu kingine wanatuzidi mi sio mwanasayansi lakini nadhani chakula tunavyokula pia vina matter kwenye brain development, sababu nyingine pia ni exposure may be walifunguka macho mapema wali interact na nchi jirani n.k instead ya kuwachukia kuna mawili matatu tu naweza jifunza
 
Sehemu pekee ambayo ukifika Tanzania na usifike hapo wewe hujafika Tanzania ni Dar Es Salaam.
Ukitaka kujua maendeleo ya mkoa angalia mchango wa mkoa husika katika pato la taifa.
Wakati Dar ipo 7.1Trilion Arusha ipo 2.1 Trilion ikiwa ni ya 7 ikipitwa hata na Mbeya na Iringa na Morogoro.
Usizungumzie Mwanza maana ni ya Pili namba hazidanganyi ila maneno yanadanganya.
Labda tuseme Arusha ni mkoa wenye mbwembwe nyingi na makeke ya watu wake lakini ukifuatilia namba ndo unajua huu mkoa usingekua makao makuu ya EA huenda ungekua ni mji wa ajabu sana. Sijui sasa ni mji wa maana katika lipi
 
Kuthibitisha hilo angalia na level za Wilaya. Maana Ukileta mbeya hapa ni Wazi wilaya zimesogea mahala Fulani,
Arusha ni Mji poa sana, nimefika tu mjini bahati mbaya sina uelewa mzuri Wa Wilaya za Arusha.
 
Sehemu pekee ambayo ukifika Tanzania na usifike hapo wewe hujafika Tanzania ni Dar Es Salaam.
Ukitaka kujua maendeleo ya mkoa angalia mchango wa mkoa husika katika pato la taifa.
Wakati Dar ipo 7.1Trilion Arusha ipo 2.1 Trilion ikiwa ni ya 7 ikipitwa hata na Mbeya na Iringa na Morogoro.
Usizungumzie Mwanza maana ni ya Pili namba hazidanganyi ila maneno yanadanganya.
Labda tuseme Arusha ni mkoa wenye mbwembwe nyingi na makeke ya watu wake lakini ukifuatilia namba ndo unajua huu mkoa usingekua makao makuu ya EA huenda ungekua ni mji wa ajabu sana. Sijui sasa ni mji wa maana katika lipi
Aiseeeeeh

All in all sisi sote ni watanzania. Kila mtu akianza kujinasibu kutokana na mkoa wake wa asili hakutakuwa na watanzania.

You can be proud of your region but not to dat extent.

Watch out

Be careful.
 
Haha haha haha leo mmeaamua ngoja na mimi nipige picture ya Namanga Kesho nitupie. Pia ntatupia picture ya ngamia mnyama anaepatikana huku kwetu raha sana.
 
Huyu mleta mada sio mtanzania na thread yake ina ajenda fulani isiyo wazi. Fuatilieni threads anazoanzisha na comments zake.

Huyo jamaa amekuwa akipigia debe sana suala la jumuiya ya Afrika mashariki kwa sababu wameona watanzania wanalipuuza sasa amekuja na hoja ya kipumbavu kabisa. Baadae watasema Kagera na Kigoma sio Tanzania. Tuwe makini na hao watu wa nchi jirani. Huwezi kwenda makao makuu ya UN New York halafu ukasema New York sio Marekani.

Watu aina ya mleta mada ni wa kuwafungulia mashtaka ya uhaini.

Cicero Utanzania wako umetiwa mashaka.
 
Naona watu wa Kilimanjaro, Arusha na Nairobi mmeungana na lengo lenu kuichimba Dar es Salaam na watu wa Pwani...acheni wivu vijana aliyetangulia ameshatangulia cha msingi mjipange mrudi na mjenge makwenu ili miji hiyo ifikie standard za Miji na ustarabu wa Pwani.
No offense just reality.

Nimecheka jamaa kasema kwa wanaume wa poda.
 
Naona watu wa Kilimanjaro, Arusha na Nairobi mmeungana na lengo lenu kuichimba Dar es Salaam na watu wa Pwani...acheni wivu vijana aliyetangulia ameshatangulia cha msingi mjipange mrudi na mjenge makwenu ili miji hiyo ifikie standard za Miji na ustarabu wa Pwani.
No offense just reality.
Hahaha...hata huoni aibu kuandika hayo?

Pwani imeizidi Arusha, Kilimanjaro na Nairobi kwa vigodoro na pweza...eeh!

Maana ukija kwenye juhudi za kufanya kazi na Elimu nyie ni Bashite origional.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sehemu pekee ambayo ukifika Tanzania na usifike hapo wewe hujafika Tanzania ni Dar Es Salaam.
Ukitaka kujua maendeleo ya mkoa angalia mchango wa mkoa husika katika pato la taifa.
Wakati Dar ipo 7.1Trilion Arusha ipo 2.1 Trilion ikiwa ni ya 7 ikipitwa hata na Mbeya na Iringa na Morogoro.
Usizungumzie Mwanza maana ni ya Pili namba hazidanganyi ila maneno yanadanganya.
Labda tuseme Arusha ni mkoa wenye mbwembwe nyingi na makeke ya watu wake lakini ukifuatilia namba ndo unajua huu mkoa usingekua makao makuu ya EA huenda ungekua ni mji wa ajabu sana. Sijui sasa ni mji wa maana katika lipi
Arusha yenyewe inajengwa na serikali baada ya kuminya mikoa mingine, lakini hawa mamangi kelele nyiiingi kama wakenya tamaa zitawauaga
 
Mkoa uliotusua Tanzania ni Kilimanjaro, watu wa klm ndio wamejenga Arusha na miji yote muhimu.

Nakataa hoja kwamba Arusha sio Tanzania kwa mara nyingine tena.

Nasisitiza Arusha ni Tanzania
 
Yaani mTz anaungana na mKenya kuzungumzis ukanda. Kenyans ambao hatujui how many will immigrate baada ya uchaguzi wao mkuu. Shame on any Tanzanian anaejivunia ukanda kuwa ni kitu chema kuliko utaifa wake... shame
Utaifa gani unaotufanya masikini kila budget Sungura wetu mdogo tugawane
 
Yaani mTz anaungana na mKenya kuzungumzis ukanda. Kenyans ambao hatujui how many will immigrate baada ya uchaguzi wao mkuu. Shame on any Tanzanian anaejivunia ukanda kuwa ni kitu chema kuliko utaifa wake... shame
prophet of doom...hakuna vita vitatokea kenya.tuombee mema sio mabaya
 
Back
Top Bottom