Hiyo yote sababu mlikubali kulamba miguu ya wazungu kwa kukumbatia ukatoliki wao.
Sidhani kama ni kukumbatia wazungu nadhani kuna kitu kingine wanatuzidi mi sio mwanasayansi lakini nadhani chakula tunavyokula pia vina matter kwenye brain development, sababu nyingine pia ni exposure may be walifunguka macho mapema wali interact na nchi jirani n.k instead ya kuwachukia kuna mawili matatu tu naweza jifunza