"Arusha sio Tanzania"

Hawa jamaa tambo nyiingi unaweza kudhani kuna la maana. Biashara zenyewe walishakariri ni kufungua Duka, Bar, Grocery, Kuchoma Kitimoto, Kufuga nguruwe na kuku
Ninyi biashara zenu ni zipi? [emoji23]
 
Hawa jamaa tambo nyiingi unaweza kudhani kuna la maana. Biashara zenyewe walishakariri ni kufungua Duka, Bar, Grocery, Kuchoma Kitimoto, Kufuga nguruwe na kuku
Ona maisha ya Arusha haya watu wanaishi kwenye vitundu alafu silently anajivunia kuishi mjini kuuza supu au kuwa mabarmaid (wanapenda kujipachika mbele ya miji ya watu soon utasikia Mwanza tumeijenga sisi,Dodoma tumeijenga aua Mwanza tumeijenga)




 
Hahahahah....Arusha Times(gazeti kongwe la Kingereza)

Siku hizi silioni tena...Hata online halipo
Ni gazeti zuri sanaa, wageni walikuwa wakija hawahangaiki na migazeti mingine.

Sasahv ukuaji wa Teknolojia, mfano uwepo wa applications za:-

Map, Trip advisor, Arushamailing zinawapa urahisi watu wakiwa chuga waaccess huduma mbalimbali.
 
Hahaha....Miji yote mikubwa pia ina sehemu ambazo si nzuri

Hebu weka na pics za Arusha mjini

Halafu nakuambia tena Pwani na Dsm ilijengwa na Wakoloni na Serikali ya Tanzania na sio WAZAWA.

Wazawa waswahili hawana muda wala akili ya kujenga kwao.

Mbona huelewi?

Wewe una ubashite kichwani eeh....!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wapi!
 
Watu wa Kenya na Arusha/Kilimanjaro wanafanana mambo mawili

¤ Ukabila/Nepotism

¤Misifa ya kijinga/Tamaa/Kuoza meno
Hii haitakusaidia kuwatoa ndugu zako wa Dodoma kwenye ufukara uliotukuka..

Wala haitamsadia bibi yako aliyeko Manyoni na Babu yako wa Simiyu kunywa maji kwenye bwawa ambalo punda na ng'ombe huoga.. Mkuu hii haitasaidia mamako kule Ileje na Itigi kutembea kilomita 10 kutafuta maji, kilomita 50 kutafuta kituo cha afya na siku nzima kukesha msituni akitafuta kuni za kuchemshia uji wa chumvi..

Mkuu sie wazee wetu kule milimani hayo walishaachana nayo tangia miaka ya 50's, 60's.. Barabara safi, Umeme na Maji yalikuwako huko tangia miaka hiyo.. Wazee wetu kule kijijini sasa wanatumia gesi kupikia vyakula vyao..

Mkuu hasira zako na Wakaskazini ungeziamishia kwenye kutatua kero kijijini kwako wamama wenye macho mekundu na albino wasingeuwawa huko Usukumani kwenu..

And In case you didn't know.. Maeneo hayo ndiyo huwa tunatuliaga tukipata vinywaji murua kabisa na hali ya hewa ya kuvutia kule Machame angali wewe huko Geita unahangaika na magwangwala..

Protea Hotel - Machame kijijini


Sallinero Millie Lodge - Machame Kijijini


Kaliwa Lodge - Machame Mgombani


Hamtakaa muiweze Kaskazini, sisi ndugu zetu ni Wakenya sio nyinyi lelemama mnaofanya hii nchi iendelee kutawaliwa na watu wanaojua kusoma na kuandika tu..
 
Kama sikosei wewe utakuwa mangi wa kishumundu umejibanza kwenye mji wa Arusha na sio Muarusha. Normally thread nyingi watu wa Kilimanjaro hupenda kujinasibu na Arusha au Nairobi.
Kama nyie hamjengi kwenu sio sawa na watu wa mjini. Ushawahi kuona mswahili kajenga huko kijijini kwenu? Nope..
 
Nilikuwa nakuchukulia kama mtu mwenye uelewa mkubwa lakini kwa comment yako hii..i was totally wrong

Nimetokea kagera na pia kijiji ninachotoka kuna facilities zote in exception ya maji though tunayapata kiurahisi kupitia njia binafsi na facilities zilizopo kule ni nadra kwa baadhi ya wilaya za nchini petu lakini sikuwahi katika maisha yangu kuwadharau watu ambao hawana....


unasema ndugu zenu ni wakenya je,watu wa pwani ya kenya walio na Tabia za pwani ya Tanzania si ndugu zako au nawe wachukulia PWANI SI KENYA....

You are better than that brother
 
Hahahah nilitaka nikuite wewe na Nicholas kumbe ushofika.[emoji23] [emoji23]
 
Mkuu huu uzi kwanza sikutaka kabisa kutia neno langu mpaka pale wapuuzi wachache ambao waliingiza mambo ya kikabila na kikanda kwasababu ambazo wanazijua wao wenyewe. Kuna watu nchi hii ukiwatajia Kilimanjaro na Arusha tu kinachofata ni matusi, kebehi na dharau zisizo na msingi wowote.. Hicho nilichomjibu huyo nadhani kinaendana kabisa na aina ya jibu ambalo limempendeza.. Huwa tunawavumilia sana lakini nasi pia tuna mioyo..

Wazungu husema "You can't force a person to show you respect; but you can refuse to be disrespected"
 
Reactions: Pep
Hahahah nilitaka nikuite wewe na Nicholas kumbe ushofika.[emoji23] [emoji23]
Hawa mkuu dawa yao ninayo mimi.. Sasahivi watarudi machakani hehehehehe

Hawataki kusikia mikoa fulani ikisifiwa kwa lolote, kwasababu tu huko kunaongozwa na chama wasichokipenda..
 
Nimekuelewa bro kwa sababu hata mimi ninapotokea huwa pamekaririka vibaya maana ukitaja kagera humu ni kashfa tu zitaendelea lakini mwisho wa siku unagundua inferiority inawasumbua so,unaachana nao lakini kwa uzi kama huu unakuwa kama "you are attacking the unknown"....

Haina shida mkuu
 
Hawa mkuu dawa yao ninayo mimi.. Sasahivi watarudi machakani hehehehehe

Hawataki kusikia mikoa fulani ikisifiwa kwa lolote, kwasababu tu huko kunaongozwa na chama wasichokipenda..
Haha kwakweli binafsi nimeishi kaskazini for many years naijua vyema...ni jamii ya watu waliostaarabika mapema
 
Asante baba nakupendaga kwa kuwa uchi moyini mwako (mkweli)
 
Haha kwakweli binafsi nimeishi kaskazini for many years naijua vyema...ni jamii ya watu waliostaarabika mapema
Indeed, watu wa Kaskazini ni wastaarabu sana na ndio maana wameweza kuishi na jamii nyingine nyingi za Tz bila tatizo lolote..

Unajua humu kuna zile "back and forth" za wa Dar na Arusha/Mikoani ambazo ni utani wa kawaida kabisa and huwezi mtu kuchukulia serious sana. Mtu wa Arusha atamwita wa Dar legelege, mpaka poda, mwanaume wa dar na vile vile wa Dar atamwita wa Arusha mvuta bange, muoza meno, bilionea wa Arusha au wa kijijini na kusiwe na tatizo lolote kwasababu ni part ya utani tu.. Lakini watu wanapoanza kuingiza makabila ya watu na kuonyesha chuki zao ndipo hapo nasi tunajibu mashambulizi..
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…