"Arusha sio Tanzania"

kweli kabisa.......mambo mengine ujue yanaenda kisiasa maana watu wanakosoana vitu vya kijinga humu angali tupo taifa moja.......na dhumuni la aliyeandika hii thread nafikiri hakuwa na dhumuni zuri cha msingi masuala ya ukabila tuachane nayo.....hadi majirani wanatudharau sasa
 
Arusha pametulia binafsi huwa napenda ile hali ya ukijan na ubaridi wake umetulia sana

Kwa ukijan ule Arusha ndiyo ilitakiwa wajiite Green city na sio mbeya kuna vumbi kibao yaani msimu wa kiangaz lazima upendezee kwa vumbi
 
Mpaka sasa sijajua maana yaa hii thread naiona kama inakwenda kwenye kutaka kuwagawa watu kwa matabaka. Wote tunajua watanzania wote ni ndugu na tumelelewa ktk umoja na si kutugawa kuna vitu watu wanaandika huku mmm vinashangaza sio asili yetu tusitake kuwa kama majirani au kuiga vitu ambavyo havitufai huu sio utamaduni wetu.
 
Watanzania ndio tumefikia hapa safari bado ni ndefu.
 
Mpumbavu huyo ana kinyongo na ccm yupo radhi kuikana nchi yake aingie msituni.
Watajikuta hawazidi mia huko msituni.
 
Kuiweza kivipi wewe bwabwa hii nchi ni yetu sote tutaishi na kufanya biashara popote, hakuna mmiliki yeyote wa mji wowote atakazuia mtanzania yeyote kufanya shughuli yoyote katika mkoa wowote anaoutaka. Kama wewe mkenya hamia huko. Shwaini
 
What a beautiful culture,
Hapo unakuta familia inamiliki Ng'ombe 2000
Kuna siku nitatembelea hizi jamii japo nikavae shuka la kimasai niruke kidogo.
 
Hivi Wakuu Lengo lenu nini hasa?
Yaani huu mvutano what are you going to get out of it?
Mnaonekana mmesoma yet mnapigizana kelele kama wajinga flani Wa karne ya 15 huko,
Kama umeendelea kuna ulazima gani kumtambia maskini?
Halafu humu wengi ni Watu wazima,
Sisi Vijana tujifunze nini kwenu?
Tukiwadharau mnaanza kutuita Kizazi cha Nyoka.
Mifi kabisa!
 
Hehe napaenda sana r chuga, kila nipo tz lazma niparty na totoz apo triple A[emoji3] [emoji3] ,alaf kuna mshkaji ananiuzia nyumba flan nzur tu apo sakina 22m, am thinkn niinunue alf niipangishe..still thnkg bout it.
 
Hahaha we nenda pale EAC utasikia.
Alafu huwezi kulinganisha EAC na UN, ni vitu viwili tofauti sana. EAC ina nia ya kuungana na kuwa nchi moja, unlike the UN. Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki lazima itakuwa na makao makuu yake.....
 
What a beautiful culture,
Hapo unakuta familia inamiliki Ng'ombe 2000
Kuna siku nitatembelea hizi jamii japo nikavae shuka la kimasai niruke kidogo.
Beautiful culture au ni umasikini mpaka kwenye meno, mnaishia kupakimbia kwenu kila siku
 
Mnafikiri kwanza lkn ndio mnaandika.au mnaandika na kupost kwanza ndi mnafikiri baadae?
 
Hiyo yote sababu mlikubali kulamba miguu ya wazungu kwa kukumbatia ukatoliki wao.
Kwani kuwa mkatoliki kuna ubaya gani? Kama ukatoliki equals maendeleo bora nchi itangazwe kuwa ya kikatoliki!
 
Reactions: Pep
Kwani kuwa mkatoliki kuna ubaya gani? Kama ukatoliki equals maendeleo bora nchi itangazwe kuwa ya kikatoliki!
Hakuna ubaya wowote,nilikua natoboa siri ya maendeleo yenu watu wajue
 
Arusha ni mji bora sana nilazima uchangamke sana gharama zamaisha arusha nijuu sana ..nyumba juu mpaka mitaani hii huchangiwa na wageni wengi.utalii na madin ya tanzanaiti hivyo hakuna kupatana sana biashara ni short cut bei fluni kwisha hakuna hadisi ndefu sana
 
Hahaha we nenda pale EAC utasikia.
Alafu huwezi kulinganisha EAC na UN, ni vitu viwili tofauti sana. EAC ina nia ya kuungana na kuwa nchi moja, unlike the UN. Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki lazima itakuwa na makao makuu yake.....

Mliambiwa hivyo kwa sababu vikao hivyo si vya serikali ya JMT, waambie hao waliowaambia hivyo watoke nje ya ofisi hizo halafu watamke maneno hayo.
 
Kuiweza kivipi wewe bwabwa hii nchi ni yetu sote tutaishi na kufanya biashara popote, hakuna mmiliki yeyote wa mji wowote atakazuia mtanzania yeyote kufanya shughuli yoyote katika mkoa wowote anaoutaka. Kama wewe mkenya hamia huko. Shwaini
Naona dawa imekuingia mpaka mfupani.. Karibia utapona hicho kichaa chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…