Arusha: wafanyabiashara waliofumwa sokoni wakiwa wamenasiana Mwanaume amlipa mwenye mke million 3 kunasuliwa

Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji.

Wafanyabiashara wa soko hilo wanaeleza ya Kuwa baada ya kushindwa kunasuana walipelekwa kituo cha afya cha levolosi iliyopo karibu na soko hilo lakini walishindwa na kupelekwa Mount Meru ambapo Mume wawanamke huyo alipigiwa simu na kudai million 3 ndipo awaachanishe, .

Mashuhuuda sokoni hapo ambao ni wafanyabiashara wenzao wa naendelea kueleza kuwa baada ya jamaa kukubali kutoa hicho kiasi walifanikiwa kunasuana na kurudi katika hali ya kawaida.
Wakome....
 
Hadithi za namna hii nilikuwa nikizisikia sana kwetu nilipokuwa mdogo na nyingi zilikuwa za kuogopeshwa sana. Lakini hadithi kama hizi ndizo pia zilikuwa vyanzo vya miiko (taboos). Mfano, wanawake kutpkula mayai, firigisi, kichwa cha samaki, etc.
 
Inge kua Dar!!! Dah
Ingekua tukio limetokea Dar, na imagine ingekuaje.
Kuna mtu wa makamo mchaga Dar alifumwa na mke wa mtu mida ya asubuhi gesti. Mwenye mke alikwenda na kikosi chake wale watu wa matofali.
Wakamwambia mchaga mwenye.
1. Ampigie mke wake aende benki alete kiasi Cha pesa za kutosha au,
2. Wafanye plan B na kumiga picha za video wazitume kwa majirani na kwa watu anaosali nao kwani mchaga alikua mzee wa kanisa.
Mzee wa KICHAGGA plan B aliikataa wakakubaliana ampigie mkewe alete pesa.
 
Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji.

Wafanyabiashara wa soko hilo wanaeleza ya Kuwa baada ya kushindwa kunasuana walipelekwa kituo cha afya cha levolosi iliyopo karibu na soko hilo lakini walishindwa na kupelekwa Mount Meru ambapo Mume wawanamke huyo alipigiwa simu na kudai million 3 ndipo awaachanishe, .

Mashuhuuda sokoni hapo ambao ni wafanyabiashara wenzao wa naendelea kueleza kuwa baada ya jamaa kukubali kutoa hicho kiasi walifanikiwa kunasuana na kurudi katika hali ya kawaida.
Mambo haya huwa ni uzushi tu. Hukushuhudia lakini nawe unatulazimisha tuamini !
Tutafika tumechoka sana
 
Sidhani kama. Umalaya ushawahi kuwa na faida kwa jinsie ya kiume
 
Ndogo sana labda kama walishuka watu wanaenda mpaka million 10 maana ni kunaswa na mke wa mtu .
 
Hii chai tu. Mimi nipo Arusha na sijasikia hata watu A Town wakiongelea hii issue. Arusha ni mji mdogo sana, issue kama hiyo itokee soko la Kilombelo ambapo pia ni Stand ya mabasi madogo halafu isijulikane?

Mleta mada umetulisha matango pori.
 
Acha ubishi .... Nenda hapo kilombero mbona kila kitu kinaelezwa.
 
arusha huu mtindo umekua kawaida hasa masokoni nakumbuka hata kama si mwaka juzi soko la tengeru pia walinasiana
 
Ndio hivyo ila wote wapuuzi... Km jamaa aliwaonta Zaid ya Mara 3 hawasikii....
Unaambiwa jamaa alivyopigiwa simu kwamba mke wake yuko hospitali kanatana na njemba, jamaa akawakusanya watoto wake akaondoka nao akiwaambia mama yao ni mgonjwa wakamwone hospitali.... Unaambiwa jamaa ametimba hospitali pamoja na watoto wakamwona mama Yao amenatishiana na njemba
 
Hapo unapata mahari ya kwenda kuoa kabinti kengine katekee,,,,,,.........nako ukishafaidi unategeshea tena
 
Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji.

Wafanyabiashara wa soko hilo wanaeleza ya Kuwa baada ya kushindwa kunasuana walipelekwa kituo cha afya cha levolosi iliyopo karibu na soko hilo lakini walishindwa na kupelekwa Mount Meru ambapo Mume wawanamke huyo alipigiwa simu na kudai million 3 ndipo awaachanishe, .

Mashuhuuda sokoni hapo ambao ni wafanyabiashara wenzao wa naendelea kueleza kuwa baada ya jamaa kukubali kutoa hicho kiasi walifanikiwa kunasuana na kurudi katika hali ya kawaida.
Ingetokea huku kwetu Lindi, mngeanza kusema wa pwani ni wachawi sana na maneno mengi ya kebehi na jeuri, sababu tu ni pwani na wa dini sahihi wapo wengi!!!

Vipi Arusha kuna nini tena???
 
Back
Top Bottom