Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbe kuna wabena wasiojitambua 🐼
 
2025 hatakama watapanga kuiba kura,kuna mahali itashindikana wataema ndoano.
Kila la heri wanasiasa.
 
Hii sampling ni Lucas style,naona umechora na cartoon za akili mbofu mbofu kwenye waslisho lako.Chadema mambo yamenyoooka hadi mtaseeeemaaa🤸🤸🤸
 
Mwenye macho haambiwi tazama

Mlale Unono 😀
ccm haipuuzagi wala kubeza ushauri au ukosoaji makini na wa maana hususani wa kisiasa...

kwenye kujitathimini na kujisahihisha,
dosari hurekebishwa, nyufa huzibwa, krecks zote husawazishwa na kisha mikakati ya kujiimarisha na kujizatiti zaidi hubuniwa na kutekelezwa kwa makini zaid ili kuyafikia malengo mahususi ya chama ya kijizatiti zaidi na kuendelea kushinda uchaguzi, kushika dola, kuunda serukali na kuwatumikia waTZ...
 
Hao ni sikio la kufa tena la fisi wa mwituni,halisikii wala haliliki na hata fisi mlafi wa dunia hii🤓
 
Mwanza Bado inaongoza,

Ila mwitikio na hamasa imeongezeka sana Kila hatua ya maandamano.

Kwa tulipofikia, lazima sauti ya umma isikizwe.
2025 uchaguzi ukiwa huru kuna watu watalia, kanda za ziwa kijani hawatapata kitu! Huu ndio wakati wa kwenda kutupa karata! Mgombea wa upinzani unaweza kushinda bila jasho!
 
Mbona mnaonekana kama mnaionea huruma CCM? Nyie si muendelee tu?
 
Mbowe Kuhusu Nchi Kukopa Nje 'Hii Nchi Inaendeshwa Kwa Mikopo'

View: https://m.youtube.com/watch?v=FTh4eB8eXmc
 
Hamna lolote endeleeni na maandamano yenu
Tunaedelea halafu Migomo itafuatia ngoja tuendelee kuchemsha maji Chura mnafikiri hilo ni Swimming pool? Hilo ni Karai liko juu ya Mafiga.
 
Nawasipo rudisha kikokotoo Cha kustaff Cha wakati wa Rais Kikwete hata wazee wataenda chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…