Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msiba umebuma,baadhi ya familia za wafiwa zimegoma kutumika kisiasa.
Safi sana, inafahamika ccm kuwa hawana utu huo, na walichotaka kufanya ni kugeuza marehemu wa wengine kama sehemu ya mtaji wa kisiasa. Bahati nzuri watu wanawajua ni wanafiki. Nawapongeza cdm kwa kuendelea na ratiba zao kama kawaida, na kuwaachia wanafiki huo msiba.
 
Kuloana sio mateso, labda kwako ww mtoto wa mama ndio unaona kuloana na mateso. Inshort umekata pumzi kwa kuona ukweli unaokuumiza.
Kwa hiyo kalio zinavosuguana na majimaji hapo,kwako siyo shida!?
 
Jemadari Lissu yuko Jukwaani anaeleza Jinsi Bashe na Super Doll wanavyopiga kwenye Sukari ya Wananchi.

I salute Lissu 🫡 huyu Jamaa ni mwisho wa maneno.
 
Mwanza bado imewafunika?
 
Ataweka sahihi tu nani atawasikiliza nyie mliyojipa kazi ya kupinga chochote. Mumetumwa kutaka sheria ziweze kusababisha vurugu. Hii ndio kitu mnafanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…