Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ime miangusheni hata wazee wa hapo kijani au unahofia pension kuzuiliwa,hiyo ni haki yako,ni jasho lako atayethubutu atawalipa hadi vitukuu wako baada ya maisha yako ya duniani🤓
Chadema iliasisiwa na Wazee Ili kiwe Chama cha Vijana

Waasisi wa Chadema waliamini Wazee wote wa Wakati Ule walilewa Itikadi ya Mwalimu Nyerere hivyo wanatamani kuanzisha Kizazi kipya cha Siasa

Na ile spirit bado ipo japo Vijana wa mwanzo pale Bavicha sasa wanazeeka
 
Hawajawahi kutoka mioyoni mwa watu, au siasa za dhalimu ziliwadanganya Nini? Ama umesahau kuwa kipindi chote Cha dhalimu aligoma cdm kufanya siasa, na akaishia kupora uchaguzi ili kukwepa matokeo ya kweli? Ni hivi, ccm sio chama Cha kizazi hiki, na hakitakaa kishinde tena kwa kiwango itakacho kwenye uchaguzi halali.
Kilitoka mioyoni ndio sababu Akina Halima Mdee walienda bungeni kwa njia ya mkato
 
Dunia inabadilika kwa kasi Sana bwashee

Wizi wa kura Hata America upo ila Trump ndio huyo anarudishwa na nguvu ya Umma 😂
Acha kuspin. Trump hakuibiwa kura bali alishindwa. Vilevile Majimbo yaliyomuangusha yalikuwa yalikuwa chini ya Republican ambao ndiyo mabingwa wa Voters suppression.
 
Kilitoka mioyoni ndio sababu Akina Halima Mdee walienda bungeni kwa njia ya mkato
Halima Mdee sio cdm boss, usichanganye mtu na taasisi. Toka Mdee kaenda kusaka maisha huko kwenye bunge kibogoyo umewahi kumuona akiwa na misimamo kama zamani? Kwa Sasa amekuwa kama mamba nje ya maji.
 
mtu yoyote ukimweleza habari za chadema

atakujibu hawa jamaa ni hovyo
 
Wewe wasema 😂😂
Jo kumbuka kiimani yupo aliyesema hata mkana mtu,na aliambiwa kabla ya kukana jogoo atawika mara tatu,na baada ya hapo akakumbuka aliahidi kuwa pamoja na aliye mkana.Na hatimaye mwisho wake haukuwa wa baraka🤓
 
Mwenye macho haambiwi tazama

Mlale Unono [emoji3]
Kwani chsdema ilikataliwa na wazalendo na wanyonge [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] leo mnasema kweli kuwa mlikataliwa na wananchi [emoji28][emoji28][emoji28] niliwaambia kuwa chadema ni wapumbavu mkabisha hata sasa watu wanawakubali kwa sababu hakuna mbadala tu chadema na ccm ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]tu
 
Bahati mbaya hayo mabadiliko ya duniani huku Tanzania kwetu huwa hayafiki bwashee.. huwa yanaishia huko huko duniani!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kuna ule usemi usemao ''people get the government they deserve''. Hiki ndicho kinachotokea Tanzania. Sisi wananchi kwa kuruhusu wizi wa kura, tunapata stahili yetu.
 
Back
Top Bottom