Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wazee nchi hii wako chini ya 1.5m, na katika hao sio wazee wote wanaikubali ccm, hivyo hamna madhara.Sisi wazee yetu ni CCM bwashee 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee nchi hii wako chini ya 1.5m, na katika hao sio wazee wote wanaikubali ccm, hivyo hamna madhara.Sisi wazee yetu ni CCM bwashee 😂
Chadema iliasisiwa na Wazee Ili kiwe Chama cha VijanaIme miangusheni hata wazee wa hapo kijani au unahofia pension kuzuiliwa,hiyo ni haki yako,ni jasho lako atayethubutu atawalipa hadi vitukuu wako baada ya maisha yako ya duniani🤓
Kilitoka mioyoni ndio sababu Akina Halima Mdee walienda bungeni kwa njia ya mkatoHawajawahi kutoka mioyoni mwa watu, au siasa za dhalimu ziliwadanganya Nini? Ama umesahau kuwa kipindi chote Cha dhalimu aligoma cdm kufanya siasa, na akaishia kupora uchaguzi ili kukwepa matokeo ya kweli? Ni hivi, ccm sio chama Cha kizazi hiki, na hakitakaa kishinde tena kwa kiwango itakacho kwenye uchaguzi halali.
Bahati mbaya hayo mabadiliko ya duniani huku Tanzania kwetu huwa hayafiki bwashee.. huwa yanaishia huko huko duniani!.Dunia inabadilika kwa kasi Sana bwashee
Wizi wa kura Hata America upo ila Trump ndio huyo anarudishwa na nguvu ya Umma [emoji23]
Acha kuspin. Trump hakuibiwa kura bali alishindwa. Vilevile Majimbo yaliyomuangusha yalikuwa yalikuwa chini ya Republican ambao ndiyo mabingwa wa Voters suppression.Dunia inabadilika kwa kasi Sana bwashee
Wizi wa kura Hata America upo ila Trump ndio huyo anarudishwa na nguvu ya Umma 😂
Hata Israel waliidharau Hamas lakini kinachowakuta hata wewe ni shuhuda 😀Bahati mbaya hayo mabadiliko ya duniani huku Tanzania kwetu huwa hayafiki bwashee.. huwa yanaishia huko huko duniani!.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ndio mshamaliza poleni sana safari bado ni ndefu!Viwanja vya Reli , Mkutano wa hadhara
Halima Mdee sio cdm boss, usichanganye mtu na taasisi. Toka Mdee kaenda kusaka maisha huko kwenye bunge kibogoyo umewahi kumuona akiwa na misimamo kama zamani? Kwa Sasa amekuwa kama mamba nje ya maji.Kilitoka mioyoni ndio sababu Akina Halima Mdee walienda bungeni kwa njia ya mkato
Yeye alisema kaibiwa so kauli yake ni nzito kuliko yako 🐼Acha kuspin. Trump hakuibiwa kura bali alishindwa. Vilevile Majimbo yaliyomuangusha yalikuwa yalikuwa chini ya Republican ambao ndiyo mabingwa wa Voters suppression.
Halima Mdee ni Chadema kuliko wewe bwashee 😂🔥Halima Mdee sio cdm boss, usichanganye mtu na taasisi. Toka Mdee kaenda kusaka maisha huko kwenye bunge kibogoyo umewahi kumuona akiwa na misimamo kama zamani? Kwa Sasa amekuwa kama mamba nje ya maji.
Alikuwa, mind you. Hata Yudah Iskarioti alikuwa mtume wa Yesu.Halima Mdee ni Chadema kuliko wewe bwashee 😂🔥
Wewe wasema 😂😂Alikuwa, mind you.
Mtu yoyote ndio nani?mtu yoyote ukimweleza habari za chadema
atakujibu hawa jamaa ni hovyo
Hivi sasa yeye ni kijani wa kuchongwa gereji🤸🤸🤸Alikuwa, mind you. Hata Yudah Iskarioti alikuwa mtume wa Yesu.
mnyongeMtu yoyote ndio nani?
Jo kumbuka kiimani yupo aliyesema hata mkana mtu,na aliambiwa kabla ya kukana jogoo atawika mara tatu,na baada ya hapo akakumbuka aliahidi kuwa pamoja na aliye mkana.Na hatimaye mwisho wake haukuwa wa baraka🤓Wewe wasema 😂😂
Kwani chsdema ilikataliwa na wazalendo na wanyonge [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] leo mnasema kweli kuwa mlikataliwa na wananchi [emoji28][emoji28][emoji28] niliwaambia kuwa chadema ni wapumbavu mkabisha hata sasa watu wanawakubali kwa sababu hakuna mbadala tu chadema na ccm ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]tuMwenye macho haambiwi tazama
Mlale Unono [emoji3]
Kuna ule usemi usemao ''people get the government they deserve''. Hiki ndicho kinachotokea Tanzania. Sisi wananchi kwa kuruhusu wizi wa kura, tunapata stahili yetu.Bahati mbaya hayo mabadiliko ya duniani huku Tanzania kwetu huwa hayafiki bwashee.. huwa yanaishia huko huko duniani!.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app