Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Ndio maana anasifia sana ili kulinda uraia haramu.Imo ukute hata Lucas Mwashambwa muhamiaji haramu
Ukiwa CCM hakuna KESI itafutwa na Wasomali wataendelea na safari kwa Gari hilo hilo na Bendera hiyo hiyo ikipepeaNimesoma nikacheka, kinachonichekesha ni kwa namna mwandishi wa Ayo alivyowakwepesha CCM kwenye hii taarifa. Mara nyingi sana tumesema hii hulka ya CCM kuficha na kushabikia haya mambo na wamekua wakikataa. Waliwahi kumkataa hata yule shujaa aliyeuwawa na Polisi kuwa hakua Mjumbe wa CCM, yule waliyempachika jina la gaidi.
leo hii kakamatwa Mwana CCM akiwa tena na gari ya 2023 akiwa amebeba vipusa (wahamiaji haramu) kama kawaida, taarifa imekua twisted. CCM hebu jirekebisheni.
watu kama hawa ndio kutwa kuchwa wanasifia "Mama anaupiga mwingi" ili kuficha maovu yao...... hili lingetokea kwa CHADEMA lingeripotiwaje?
View attachment 2943998
SIO KWELICCM kumejaa wahuni
Hilo ni gari lao CCM, serikali inalitaifisha halafu inawapa CCM.Aisee namuonea huruma
Sababu sheria inataka gari inayobeba wahamiaji haramu lazima itaifishwe
Gari la mamilioni hilo linataofishwa mchana kweupe
Huyo ni kada, na gari atarudishiwa mmiliki.Aisee namuonea huruma
Sababu sheria inataka gari inayobeba wahamiaji haramu lazima itaifishwe
Gari la mamilioni hilo linataofishwa mchana kweupe
Pembe la ng'ombeNimesoma nikacheka, kinachonichekesha ni kwa namna mwandishi wa Ayo alivyowakwepesha CCM kwenye hii taarifa. Mara nyingi sana tumesema hii hulka ya CCM kuficha na kushabikia haya mambo na wamekua wakikataa. Waliwahi kumkataa hata yule shujaa aliyeuwawa na Polisi kuwa hakua Mjumbe wa CCM, yule waliyempachika jina la gaidi.
leo hii kakamatwa Mwana CCM akiwa tena na gari ya 2023 akiwa amebeba vipusa (wahamiaji haramu) kama kawaida, taarifa imekua twisted. CCM hebu jirekebisheni.
watu kama hawa ndio kutwa kuchwa wanasifia "Mama anaupiga mwingi" ili kuficha maovu yao...... hili lingetokea kwa CHADEMA lingeripotiwaje?
View attachment 2943998
hili nalo neno ujue, umeweza mbali sanaInaonekana CCM Inataka kutumia mbinu ya democraty, baada ya kugundua wamepoteza mvuto wameanza kuingiza wahamiaji haramu. Watakuwa ndugu zake Bashe.
wako 20, sijui walikaajeEnhe