Asali, samli, kitunguu maji ni tiba ya nguvu za kiume- mrejesho

mpango mzima ni ile dawa inaitwa LIFE. inatangazwa star tv na jamaa anaitwa dr buberwa. ile ni kiboko, uchovu wote kwisha na unakuwa active masaa yote. kisukari, pressure, vidonda vya tumbo utavisikia kwenye bomba tu. nimeitumia na imezaa matunda..

Kwangu LIFE haikuona ndani, mambo iko kwa JIKO bhana
 
Hivi vitu unachanganya vyote au?na ni kipimo cha namna gani?na dozi yake ya mda gani?
 
Soma comment za wengine pia kabla hujauliza. una mix juice ya kitunguu kijiko kimojo kikubwa, asali mbichi na samli koroga kunywa mara mbili kwa siku mara siku saba. Ila mkipata nafuu bakini njia kuu jamani na wenzenu wafurahie. Wanaumia sana na style zenu za ujogoo. Pia punguzeni pombe na sigara inawawaumiza sana ndo maana mnashindwa shughuli muhimu ya kuwa dume.
 

Asante mkuu. Mie bado nina nguvu sihitaji hiyo dawa kwa sasa lakini najua kadiri umri unavyosogea kuna siku nitaihitaji japo sijui samli inapatikana wapi maana siku hizi hata vijijini hawatengenezi.
 
Wadau mimi ninashida moja imejitokeza kwangu this siku chache nilipata mchepuko kidogo akaniruhusu kumshika mwili wake na kadhalika mzee akasimama but nilipotaka kumuingilia mzee akalala ghafla.Then baada ya hapo nikakutama na mchepuko wangu mwingine wa muda uwa tumeshaonana kama mara 4 tano hivi nimpiga goli moja la pili kama stimu nikawa sina hivi.But today I mean na mpenzi wangu nimpendae with all my heart mzee kasimama namuingilia tu kalala.Tatizo linaweza kuwa nini wadau pls I need help pls I beg.....
 
Pls naomba mnipm wadau any help will be counted
 
Je kuna dawa ya nguvu za kike.???.kwasababu mimi ninashida ya kupoteza hamu ya tendo baada ya round ya kwanza tuu.Sitamani tena na hamu inakwisha...na uke unakuwa mkavu ..msaada
 
Bratha hebu tupe link ya hiyo elimu iliyotolewa na julius
 
Sisi kwa lugha ya kule kwetu, hiyo process tunaiita "Okosegesa amabhele". Hahaaa!.
 

Locally na sio localy.
 
Nguvu za kiume naona ni janga la kitaifa aisee.

Well, dawa kila mtu anaijua ila mwataka short-cuts tu. Hebu punguzeni kula vitu visivyofaa (chips zilizomiminwa ndani ya mafuta kila siku), punguzeni kula bia nyingidaily, na ongeza mazoezi kidogo tu, japo kwa kutembea na utaona mafanikio.

Ukifuatilia waliotumia dawa hiyo, mwisho wa siku ''waliharisha''. So, the ultimate goal ni kuharisha. Kuharisha huko ni sawa na kufanyika kwa ''detoxifation'' ambapo mavimavi yaliyoganda kwenye utumbo, mafuta-mafuta na uchovu wote unatoka humo

Sasa basi, njia yoyote ya kufanya wewe kuharisha na kupunguza tumbo/uchafu wako inaweza kuwa mkombozi wako. Kwa wale wasioweza kulamba Samli, kuna hawa jamaa wa EDMARK hapo Dar wanauza kitu flani kinaitwa ''SHAKE OFF''. Ukitumia hiyo, utaharisha balaa. Unaweza pia kutafuta ''slimming tea'' zinazopatikana kwa baadhi ya Pharmacies ili uharishe. Ukiharisha automatically unakuwa umeditoxify tumbo/mwili wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…