zimwimtu
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 1,988
- 1,095
piga namba hiyo 0753-185543. yupo ubungo plaza, daslam.tutaipataje tusaidie contact
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
piga namba hiyo 0753-185543. yupo ubungo plaza, daslam.tutaipataje tusaidie contact
inatengenezwa kwa miti shamba, ishatengenezwa we unatumia tu kwa dozi utakayoelekezwa, yupo pale ubungo plaza piga 0753-185543
mpango mzima ni ile dawa inaitwa LIFE. inatangazwa star tv na jamaa anaitwa dr buberwa. ile ni kiboko, uchovu wote kwisha na unakuwa active masaa yote. kisukari, pressure, vidonda vya tumbo utavisikia kwenye bomba tu. nimeitumia na imezaa matunda..
Hivi vitu unachanganya vyote au?na ni kipimo cha namna gani?na dozi yake ya mda gani?Habari wana jamvi!
Nimeleta mrejesho wa wa chakula tiba tuliopewa na ndugu yetu Julius Mahenya.
Nimekunywa dawa na leo jioni ndio nitamaliza dozi ila kwa hakika mabadiliko yapo makubwa,mruko wa mkoja ni mkubwa na si asubuhi tu hata mchana,alfajiri jogoo anasimama mpaka mishipa inauma,tena inapanda juu kama pembe la kifaru,alafu mwili wangu ulikuwa nikipataga uchovu mwilini nao siusikii na na sina usingizi wa hovyo kama hapo nyuma,asubuhi naamka na nguvu tofauti na zamani.
Namshuku ndugu yetu Julius Mahenya.
Wana JF mnao ni PM kwa kutaka mrejesho ili nanyi muweze kutumia nawatoa wasiwasi tumieni, najua wengi wametumia nao watotoa ushuhuda na pongezi kwa ndugu Mahinya.
Kwa maelekezo ya ndugu Julius Mahenya ni kwamba unakamua juice ya kitunguu maji kijiko kimoja cha chai (kile kikubwa) kisha unachanganya na asali mbichi kijiko hichohicho na unachanganya tena na samli kijiko hicho hicho kisha unakoroga unakunywa.Unatengeneza asubuhi na jioni na kunywa kwa mda wa siku 7 dozi imeisha.
Sisi kwa lugha ya kule kwetu, hiyo process tunaiita "Okosegesa amabhele". Hahaaa!.Kupata samli unaweza kununua butter ukaichemsha hadi mafuta yakajitenga na solid milk,au machicha then unachuja na kupata samli(ghee).ila sasa sijui kama butter ya supermarket yaweza kuwa natural.
Zamani zilikuwepo mashine tukiziita mashine za shagi,zina mfumo kama wa centrifuge ambamo maziwa huwekwa na kuwa spinned hadi yanajitenga na ile cream ambayo ndo butterfat japo inakuwa bado na kiasi cha water na solidmilk,sasa ili upate samli ile butter kwa kiswahili sijui ndo siagi inapikwa,kipindi kile tukipikia kwenye mapipa,mpaka mafuta yanapatikana then unakamua kwa kitambaa kutenganisha samli na machicha.
Localy zaidi mabibi walikua wanagandisha maziwa then wanayaweka kwenye kibuyu na kuyasuka(kuspin )kibuyu kisha watamwaga maziwa kwenye sufuria ambapo ile cream huja juu,wanaengua cream na kuipika hadi wanapata samli.
Kupata samli unaweza kununua butter ukaichemsha hadi mafuta yakajitenga na solid milk,au machicha then unachuja na kupata samli(ghee).ila sasa sijui kama butter ya supermarket yaweza kuwa natural.
Zamani zilikuwepo mashine tukiziita mashine za shagi,zina mfumo kama wa centrifuge ambamo maziwa huwekwa na kuwa spinned hadi yanajitenga na ile cream ambayo ndo butterfat japo inakuwa bado na kiasi cha water na solidmilk,sasa ili upate samli ile butter kwa kiswahili sijui ndo siagi inapikwa,kipindi kile tukipikia kwenye mapipa,mpaka mafuta yanapatikana then unakamua kwa kitambaa kutenganisha samli na machicha.
Localy zaidi mabibi walikua wanagandisha maziwa then wanayaweka kwenye kibuyu na kuyasuka(kuspin )kibuyu kisha watamwaga maziwa kwenye sufuria ambapo ile cream huja juu,wanaengua cream na kuipika hadi wanapata samli.
Tiba mbadara ya ukweli hii