Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

Nimeshangaa sana,timu inazuiya muda wote halafu haikai na mali....Ila ninachokifahamu Ni kwa Timu zote ndogo za Tanganyika Tatizo ni Hilo Hilo siku zote watazuiya sana....wanapopata mpira hawana counter attack za kushangaza wachezaji wanakuwa hawana ufanisi wa kufika hata kwenye boksi la mpinzani ikiwa Ni Yanga au Simba....unaona kabisa wachezaji wetu wa ndani bado Sana kwa viwango kuwafikia kina Mayele,Chama,Azizi ki na Max zengeli.

Kichuya aliingia kufanya nini?
Anapata Mali hakai nayo kabisa au kwenda nayo kumsalimia Diarra shkamoo hawezi,itoshe kusema ubora wa ligi yetu kuwa ya tano imeletwa na wageni kutoka Burkinabe,Congo Dr n.k
 
Aliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!

Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Kaze kwa Nini anaenda kuzuiya muda wote halafu Hana mashambulizi ya kushtuka ya kufika kwenye boksi la Yanga?
Hili Tatizo lipo kwenye timu karibu zote ndogo ndogo za Nbc...
Wanacheza vizuri kuziba Mashimo Ila kwenye kushambulia bado makocha wanasafari ndefu.
 
Bora sta Namungo wamejitahidi kuzuia , Kuna timu ilicheza na Yanga mpira wa kwanza on target ulipigwa na iyo timu dk ya 76.
Ili pigwa goli mbili na zote refa kazitia mfukoni.
Kwa dk zote 90' haikuweza kumiliki mpira kwa sekunde 45.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mbumbumbu hawalijui hili 😂😂😂
 
Aliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!

Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Badili TV hiyo unayotumia kuchekia boli tafuta kubwa zaidi ya hiyo ukishindwa kabisa muone daktari uanze tiba ya miwani
 
Back
Top Bottom