mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na ushindi, mji una utulivu!! makelele ya tano tano hayasikiki tena!! Kumfunga mfiwa utajisifuje kwa mfano!!Shabiki maandazi...bure kabisaaa
Kaze kwa Nini anaenda kuzuiya muda wote halafu Hana mashambulizi ya kushtuka ya kufika kwenye boksi la Yanga?Aliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!
Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
Mbumbumbu hawalijui hili 😂😂😂Bora sta Namungo wamejitahidi kuzuia , Kuna timu ilicheza na Yanga mpira wa kwanza on target ulipigwa na iyo timu dk ya 76.
Ili pigwa goli mbili na zote refa kazitia mfukoni.
Kwa dk zote 90' haikuweza kumiliki mpira kwa sekunde 45.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Umeongea kwa uchunguAliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!
Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Mbumbumbu huyui mpira yaani Yao alikua offsideAliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!
Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Rage alisemaje vileAliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!
Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Badili TV hiyo unayotumia kuchekia boli tafuta kubwa zaidi ya hiyo ukishindwa kabisa muone daktari uanze tiba ya miwaniAliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!
Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Na yule kocha wa manyani jeRage apewe heshima yake.
Yaani hadi aibuJIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
Kaa kimya ufiche ujinga wako,unajua mpira kweli wewe,Kuna offside gani Sasa paleAliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!
Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Achana naeMbumbumbu huyui mpira yaani Yao alikua offside