Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
-
- #41
Hakika, atakayeshinda ndie atakayetangazwa. Poa moyo kiongoziHatutakubali mlete figusi zenu za kunyonga wagombea waliopita katika chaguzi zenu mlete figusi za kunyonga uchaguzi mkuu ujao, kitanuka.--- ala ala mti na jicho, ala ala uchaguzi na amani yetu, hii nchi sio ya CCM, ni nchi ya watz wote 55 million na wengi wao hawana vyama. Kumbukeni hilo, atakaye shinda kihalali "principle" inataka atangazwe na apewe haki ya kuongoza, vinginevyo uchaguzi hautakuwa na maana yoyote na ni hadaa, kupoteza fedha na muda bure.
Wewe ndio geniushuyo Magufuli unayempongeza amenunua hiyo meli kwa pesa zake mfukoni?!.
mleta mada huna akili
Sio vizuri kuidanganya nafsi yako
Wasiwasi wako tuu jombii
Kama ni Tanga itakuwa unaongelea PPTL ambao wanafanya vizuri sana na sasa hivi ukipita pale utaona wanaongeza warehouse kubwa sana. By the way, PPTL ni muajiri mkubwa sana kwa wakazi wengi wa Tanga mjini.Wtz, wengi tumechoka na machungu ya miaka 5 ya Mzee Magu. Maisha ni shida kila kona, leo huku kwetu viwanda vitatu muhimu vilivyokuwa vikitoa ajira kwa watu wengi vimefungwa, TTPL, Mazava, Magunia nk, wewe unadhani hao mamia ya wafanyakazi "lay offs" na ndugu zao are they going to Vote for Magu???
Kuhangaika kuuwa upinzani ndio shida za watzMagufuli anahangaika sana na matatizo ya watanzania. Inashangaza kuna watu wanambeza
Sababu za kufungwa n zipi? Maana isije kuwa mis management ndio chanzo halafu utake kuilaumu serikaliWtz, wengi tumechoka na machungu ya miaka 5 ya Mzee Magu. Maisha ni shida kila kona, leo huku kwetu viwanda vitatu muhimu vilivyokuwa vikitoa ajira kwa watu wengi vimefungwa, TTPL, Mazava, Magunia nk, wewe unadhani hao mamia ya wafanyakazi "lay offs" na ndugu zao are they going to Vote for Magu???
Upinzani unajiua wenyeweKuhangaika kuuwa upinzani ndio shida za watz
Kama ni Tanga itakuwa unaongelea PPTL ambao wanafanya vizuri sana na sasa hivi ukipita pale utaona wanaongeza warehouse kubwa sana. By the way, PPTL ni muajiri mkubwa sana kwa wakazi wengi wa Tanga mjini
Sababu za kufungwa n zipi? Maana isije kuwa mis management ndio chanzo halafu utake kuilaumu serikali
Hilo tuu?Kodi za kukamuana.
Hiyo meli watapanda punda?Hatutaki Maendeleo ya vitu. Tunataka Maendeleo ya watu! Mbona hamsikii?
Noma mkuu,pisi za mazava utazionea huruma kitaa,wa TPPL vitambi kwishaaa.kwa hili la morogoro mzee magu simuungi mkono.Wtz, wengi tumechoka na machungu ya miaka 5 ya Mzee Magu. Maisha ni shida kila kona, leo huku kwetu viwanda vitatu muhimu vilivyokuwa vikitoa ajira kwa watu wengi vimefungwa, TTPL, Mazava, Magunia nk, wewe unadhani hao mamia ya wafanyakazi "lay offs" na ndugu zao are they going to Vote for Magu???
We nae TTPL na PPTL wapi na wapi? TTPL ni kiwanda cha tumbaku morogoroKama ni Tanga itakuwa unaongelea PPTL ambao wanafanya vizuri sana na sasa hivi ukipita pale utaona wanaongeza warehouse kubwa sana. By the way, PPTL ni muajiri mkubwa sana kwa wakazi wengi wa Tanga mjini
Hilo tuu?
Kwani hizo Kodi za kukamua zinafanywa Moro peke yake? Vipi sehemu nyingine viwanda vina flourish?
Noma mkuu,pisi za mazava utazionea huruma kitaa,wa TPPL vitambi kwishaaa.kwa hili la morogoro mzee magu simuungi mkono.
Acha tu mzee baba,kuna waliopanga vyumba na walitokea singida,kule kiwanda kilipoanzia kabla ya kuhamishiwa moro,dah wengi wamerudi kwao,moro pamewashinda,na maisha yalikuwa yanakwenda poa sana kabla ajira kusitishwa.Tena hao akina dada zetu wasiokuwa na waume waliokuwa waajiriwa hali ndiyo mbaya zaidi, wanadhalikalika utu wao, sasa wafanyeje na wapo mjini katika nyumba za kupanga, hapo bado hajala na hajavaa au bahati mbaya augue. Sukari kilo sh 2500/= kutoka sh 1800/= ya Jk.
Halafu mtu mishipa ya shingo na povu linamtoka kama mjusi aliyebanwa na mlango eti; Magu mitano tena!![emoji1787][emoji1787]
Soma vizuri na ukae kwa kutulia. Niliuliza kwanza na sikujampu into konklusheniWe nae TTPL na PPTL wapi na wapi? TTPL ni kiwanda cha tumbaku morogoro