Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

hii habari niliisoma huko mitandaoni na wamesema hiyo meli inatokea Congo kuja kigoma na itapokelewa na mkuu wa mkoa wa kigoma lakini hawakusema imenunuliwa

MaCCM waongo sana


Bravo to these Congolese geniuses, young Engineers who build 1 of the big boats in central Africa.

Assembly and construction at the port of Kalemie DR Congo for a capacity of 2 thousand tonnes of goods, 80 vehicles on board and 400 passengers to connect the DRC, Zambia, Burundi and Tanzania


Governor Zoe Kabila (middle) of Tanganyika Province with Jean Mbuyu Luyongola (left) at his side during the official commissioning of MV Amani in Kalemie DR Congo.

A l'inauguration du bateau MV Amani, le dΓ©putΓ© national Jean Mbuyu Luyongola Γ©tait au cΓ΄tΓ© du gouverneur de Tanganyika
 
Hatutaki Maendeleo ya vitu. Tunataka Maendeleo ya watu! Mbona hamsikii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tafuta kuwa na hamu ya wanaume tu! Haya mengine yamekuzidi
 
Meli ya DRC hiyo ujinga mzigo mkuu. Wanajichekeleaha wamezoea uongo sana kila kitu kudanganya watu. Wanatafuta kura za waha. CCM na Uongo ni kama mpira na upepo.
Hahahhaha... Mmepanic ee? Na bado,!
 
Asante ya nini?!Hii nchi imejaa mazuzu kila kona.Yaani mtu anatimiza wajibu wake kama Rais kupitia kodi zetu halafu unakuja kujinasibu hapa asante Rais?Kwani hatumlipi mshahara kwa kazi anazofanya?
Unabetua betua viuno humu kwamba selikali hakuna ilichofanya huwa unataka ikufanyie nini labda?
 
Published on 13 Jul 2020

Le MV Amani a effectuΓ© son premier essai technique sur le lac Tanganyika/RDC

Habari Tanganyika/rdc Le MV Amani a effectuΓ© son premier essai technique sur le lac Tanganyika

MV Amani carried out its first technical test on Lake Tanganyika / DRC

Habari Tanganyika / rdc MV Amani carried out his first technical test on Lake Tanganyika
source : Habari Tanganyika
 
Huyo tumeshamzoea ndugu pingapinga. Nataka nimwambie kuwa kutoka Kigoma hakumfanyi kuwa na hati miliki ya watanzania wa Kigoma

Wafanyabiashara na wananchi wa Kigoma watanufaika, biashara itafanyika ba serikali itakusanya Kodi.

Zitto Ni mchumi na anajua hilo lakini anataka tuu kuhakikisha Magufuli na serikali yake hawapati hizi credit. Hatutanyamaza, tutausena ukweli na wanakigoma watahukumu.
 
Kama mbunge, Zitto alitakiwa kuwa mstari wa mbele kwenye hili na kuonesha mchango wako lakini yeye anapinga tuu ili mradi CCM usipate credit. Ninawashangaa sana wanakigoma Kama wanamrudisha bungeni huyu bwana
 
MATAGA Mlivyo ma Zuzu mnashangilia Meli ya Congo,Meli iliyokuwa assembled na Engineers wa Congo
 
Hatutaki Maendeleo ya vitu. Tunataka Maendeleo ya watu! Mbona hamsikii?
Usitulazimishe.......BABA ako kazaliwa mwaka mmoja na bakhresa mbona hakupata kitu ...........jichunge na mdomo wako kama sufuria ya lock up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…