Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
-
- #81
Tunashangilia meli ya kongo inayobeba abiria 600 wa Haiti, magari 50 ya Ubelgiji na mizigo tani 3500 ya kupelekwa ZimbabweMATAGA Mlivyo ma Zuzu mnashangilia Meli ya Congo,Meli iliyokuwa assembled na Engineers wa Congo
Kiufupi meli hii ni muhimu kwa maendeleo ya Kigoma na Tanzania kwa ujumlaMaCCM waongo sana
Bravo to these Congolese geniuses, young Engineers who build 1 of the big boats in central Africa.
Assembly and construction at the port of Kalemie DR Congo for a capacity of 2 thousand tonnes of goods, 80 vehicles on board and 400 passengers to connect the DRC, Zambia, Burundi and Tanzania
Governor Zoe Kabila (middle) of Tanganyika Province with Jean Mbuyu Luyongola (left) at his side during the official commissioning of MV Amani in Kalemie DR Congo.
A l'inauguration du bateau MV Amani, le député national Jean Mbuyu Luyongola était au côté du gouverneur de Tanganyika
Kazi ipi??? Ya kubambika watu kesi, kuteka na kuua???Acha mbwembwe mkuu. Tarehe 28 kamchague mzalendo namba moja na wagombea wa CCM kazi iendelee
Wewe ni Zwazwa, Mwanzo umesema Meli Kanunua JiweTunashangilia meli ya kongo inayobeba abiria 600 wa Haiti, magari 50 ya Ubelgiji na mizigo tani 3500 ya kupelekwa Zimbabwe
Watanzania wa Kigoma wamemuelewa Magufuli
Tatizo lenu lumumba fc!! huwa mambo ya msingi mnayafanya kama taarabu!! Ukweli upo wazi kuwa hiyo ni meli ya KABILA, na sio kwamba ni mali ya serikali ya Tz, sasa kuja kuwa inatoa huduma tu nchini, imeshakuwa yenu? Na mabango makubwa, shukuruni mungu tu, kuwa ujinga wa watz wengi ndio mtaji wenu ccm!! Kwani kuna propaganda zingine ni za kitoto sana!!!Hahahhaha... Mmepanic ee? Na bado,!
Imeileta kutoka wapi??! Wakati watu wengine tumeshaitumia sana hiyo meli huku DRC?!! Ndani ya ziwa Tanganyika!!! Hiyo ni meli ya JOSEPH KABILA!!Mtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu.
Serikali ya awamu ya tano inaleta meli kubwa ya kisasa iitwayo Mv Amani ambayo itafanya safari zake katika ziwa Tanganyika na hivyo kuwa msaada mkubwa kwa ndugu zetu wa Kigoma.
Meli hiyo inauwezo wa kubeba abiria 600, magari 50 na mizigo tani 3500. Hongera Sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli.
#maendeleohayanavyama
Amani
View attachment 1611644
Sasa meli ikitengenezwa kongo kuna dhambi gani? Mbona wewe umevaa boxer kutoka Uchina na hujavaa magome ya miti?Wewe ni Zwazwa, Mwanzo umesema Meli Kanunua Jiwe
Meli ya Congo hiyo
Nyie Ma Zwazwa endeleeni kushangilia kila kitu,hata wake zenu wakidungwa Mimba MtashangiliaView attachment 1612142
Ulivyo Zwazwa next action ni kushikwa tako tuSasa meli ikitengenezwa kongo kuna dhambi gani? Mbona wewe umevaa boxer kutoka Uchina na hujavaa magome ya miti?
Sisi tunaangalua impact ya kiuchumi kwa wanakigoma na Tanzania kwa ujumla. Tunawajua nyie pingapinga ambao mnakesha kutafuta ubaya kwenye kila jema.
Tunawanyoa tuu vipara ngoto. Haoana chezea Magufuli, kura Kama zote kutoka Kigoma.
#leka dutigite
CCM sisi ni wastaarabu, matusi kwetu mwiko. Ila nimekusamehe bureeee! najua mmepaniki, mmejaa upepoUlivyo Zwazwa next action ni kushikwa tako tu
Wewe utakuwa Shoga sio bureCCM sisi ni wastaarabu, matusi kwetu mwiko. Ila nimekusamehe bureeee! najua mmepaniki, mmejaa upepo
Narudia tena, kiongozi mzuri n yule anayehakikisha anatatua kero za watu wake kwa njia na mbinu mbalimbali.Tatizo lenu lumumba fc!! huwa mambo ya msingi mnayafanya kama taarabu!! Ukweli upo wazi kuwa hiyo ni meli ya KABILA, na sio kwamba ni mali ya serikali ya Tz, sasa kuja kuwa inatoa huduma tu nchini, imeshakuwa yenu? Na mabango makubwa, shukuruni mungu tu, kuwa ujinga wa watz wengi ndio mtaji wenu ccm!! Kwani kuna propaganda zingine ni za kitoto sana!!!
Labda au tumuulize mtetezi mbelgiji?Wewe utakuwa Shoga sio bure
Duuuuh adi ww umekubwa na upepo wa Lumumba FCHaya wale wenye imani haba, kwao ni mpaka kuona ni kuamini, oneni, na October 28, fanyeni mambo by doing the right thing!
Uchaguzi 2020 - Kuona ni Kuamini: Je, Oktoba 28, utachagua nini kati ya unachoona kwa macho kitu cha ukweli kilichopo vs ahadi tupu? Msikilize Masanja Mkandamizaji...
Wanabodi, Sisi wana tasnia ya habari, kwenye uchaguzi huu, zaidi ya kuwahimiza watu na kuwahamasisha, hiyo tarehe 28 October, wajitokeze kwa wingi, kwenda kupiga kura, na kuitumia haki yao ya kidemokrasia, kuwachagua viongozi wanao wataka, media pia tuna wajibu wa ziada wa kuwaelimisha...www.jamiiforums.com
P
Sasa inafanya safari zake Tanzania Kigoma mwisho wa reliImeileta kutoka wapi??! Wakati watu wengine tumeshaitumia sana hiyo meli huku DRC?!! Ndani ya ziwa Tanganyika!!! Hiyo ni meli ya JOSEPH KABILA!!
Ebu tamka neno Haki tuone Kama unawezaNarudia tena, kiongozi mzuri n yule anayehakikisha anatatua kero za watu wake kwa njia na mbinu mbalimbali.
Inaelekea mnachukizwa sana na jinsi Magufuli na serikali yake inayoongozwa na CCM inavyotatua kero za wananchi. Sasa Kama sio uchawi, niambie n nn?
Wala mimi sipo huko, uongozi ni kutatia kero za wananchi, lakini kwa awamu hii propaganda zimekuwa nyingi mno!!! Kuna radio/tv nimeisikia wakisifu kuwa hiyo meli ni mali ya Tz!!! Imenunuliwa kwa pesa zetu kuwakomboa watu wa kigoma!!! Kitu ambacho sio kweli!! Huo ndio uchawi wenyewe, kuna UNAAA ZAIDI YA HUU?!!Narudia tena, kiongozi mzuri n yule anayehakikisha anatatua kero za watu wake kwa njia na mbinu mbalimbali.
Inaelekea mnachukizwa sana na jinsi Magufuli na serikali yake inayoongozwa na CCM inavyotatua kero za wananchi. Sasa Kama sio uchawi, niambie n nn?
Meli ya Kongo , lakini anasifiwa magufuli jamani this is too muchMeli ya kongo ambayo itahudumia wanakigoma na kurahisisha upatikinaji wa usafiri na mizigo
Kwani nimekataa?!! Tatizo lenu empty sets fc, huwa mnashindwa kutofautisha jf na fb!! Humu jf kuna watu wenye kuhoji na kujua mambo mengi, hivyo ukileta propaganda, una kula za uso, unazimia, ukipata ufahamu akili imekujia,na wewe unakuwa umejua kumbe ulikuwa hujui!!! Una ona sasa mbwembwe zote kumbe ulikuwa hujui, kuwa ni meli ya RDC, Na kuna watu tumeshaipanda, umekuwa mpoleee!!! TOKA SIZE YA SIMTANK, HADI SIZE YA KIKOMBE CHA KAHAWA!!! ni hatari sanaaa sheheeSasa inafanya safari zake Tanzania Kigoma mwisho wa reli
Wewe utakuwa Shoga sio bure