MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Usiombe yatokee hayo halafu huna hela utajuta humo ndani hakukaliki kabisaWanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.
Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.