Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Najitahidi kuvi-balance vyoteNyege + maokoto = hasira na kelele
Uko wapi 😊
Nampa maokoto lakini na nyege nahakikisha namuondoa
Babu yenu nahitaji Utulivu Kwa boma 🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najitahidi kuvi-balance vyoteNyege + maokoto = hasira na kelele
Uko wapi 😊
AsantePole na hope soon utarecover, I was part of it ila kuna mtu alikwamisha kidogo lile suala kwa upande wangu nikashindwa kushiriki kwa 100%
😂😂😂😂😂😂
Sikutegemea kucheka leo aisee.!!
Nitafutie kungwi kwa matumizi ya baadae
Ni nini hasa kimetokea! fungukaWanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.
Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Mzima wa afya ..😹😹😹 nipo bro mzima?
Wifi vipi yy nani??
Mana wenzio wanatoa ya moyoni
A.K.A incubatorWanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.
Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Dawa ni kuongeza upendo the more unamuignore kelele hazitaisha + mkaze vizuriMimi alinizalia sabufa, kelele kila siku hakuna hata kusikilizana kila kitu ni kelele na kulalamika
BraveMzima wa afya ..
Wifi yako mrembo yuko salama,Tuweke shida zetu huku mtucheke?...tunagombana vyumbani na kumaliza huku huku 😅
This is the best solution..!! Ameze moyo wake tu asiwe wa kutaka kujibujibu kila anachoambiwa au kutaka kujitetea kwenye kila jambo..!! Akae kimya tu. Awe na majibu ya mkato.Na bado.
Ndiyo kwanza ukurasa wa kwanza.
Ukitaka uwaweze wanawake, don't take them seriously. Atakachoongea akiwa na hasira wewe puuzia.
Atalalama kisha atanyamaza. Maisha yanasonga.
Mwanamke akiwa Jobless lazima awe hivi.Kwa kutunza makosa ya nyuma wanawake wapo vizuri, unakosa leo ila unapewa list ya yote uliyowahi kukosea na alisema kasamehe.
😁😁😆😆😂😂Mimi alinizalia sabufa, kelele kila siku hakuna hata kusikilizana kila kitu ni kelele na kulalamika