Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Mbna no common sense mtetezi, huoni anarudia yaleyale kwa kila tukio? Hana jipya jingine hata kama anatoa posho na anaungwa mkono na chama tawala usijitoe ufahamu. Hamna mwenye imani tena na chadema kwa sasa zaidi ya wenye maslahi binafsi! Kumchagua tena itakua cuf ingine in 2-3 yrs otherwise wajitafakari, watajua wenyeweVery interestingly! Alisha maliza mbinu zake zote?
How?
Umejuaje? Amekwambia hivyo?
Then what!Hizo " deliverables" zako zinakuwa tested Kwa kutumia standard ipi kama Sio muda ulio hudumu? Ambayo ndio experience?
Anyways, Soma tangazo la Kazi kwenye kampuni ya muhaya πππ
1.=The applicant must be fluent in English, Kiswahili and Kihaya.
2: With 5 years of experience.
Vipi na Mbowe alipochaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, alikuwa na uzoefu wa miaka mingapi? Au yeye alizaliwa na kipaji cha kuwa Mwenyekiti kutoka kwa Mungu?Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.
Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.
Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .
Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.
Mbowe = 21 years of experience.
Lissu = 0 year of experience.
And u guys want to replace 20 with zero?π€£π€£π€£π€£
Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.
Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.
Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.
#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
NAOMBA UNIUNGANISHE KWENYE GROUP LA KUCHUKUA POSHO MAANA KAMA UNAWEZA KUMTETEA GAIDI WE NI ZAIDI YA ZOMBIE.Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.
Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.
Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .
Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.
Mbowe = 21 years of experience.
Lissu = 0 year of experience.
And u guys want to replace 20 with zero?π€£π€£π€£π€£
Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.
Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.
Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.
#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
Akawekeze kwnye nini? Chama cha siasa ni mali ya umma sio ya mtu binafsi uchumi wa ccm haumhusu Samia why Lissu ajenge uchumi wake? Hoja mfu hiiKwa Lissu bado sana ,ajitafute kwanza kiuchumi ,Lissu anashindwa hata na Hashimu Rungwe Le Bilionea.
Mnahubiri katiba mpya, demokrasia na chaguzi huru za haki je Mme jipima na kujipambanua? , Angalizo ni aibu kuvihubiri kwa kelele nyingi nyuma mikamera kumbe hamuishi navyoNiliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.
Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.
Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .
Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.
Mbowe = 21 years of experience.
Lissu = 0 year of experience.
And u guys want to replace 20 with zero?π€£π€£π€£π€£
Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.
Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.
Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.
#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
Kuongoza chama si kazi ya kitoto ,waulize kina Lipumba ,Mbatia Jinsi vyama vyao vilivyowafia mkononi.....Ukiwa na Njaa hauwezi kuendesha chama cha siasa.
"Tulipewa majukumu ya kutafuta pesa ya vikao ,tulishindwa ikabidi mbowe atoe milioni 250 peke yake" - Wenje.
Ajijenge kwanza kiuchumi ,mtu mwenye njaa ni rahisi sana kununulika na pia kwa mujibu wa rafiki yake alisema jamaa halipi madeni/dhulumati ,anaomba sana hizi laki 5 ,milioni milioni ,sasa mtu kama huyo akikutana na kina Abdul wakampa Biii anauza chama mazima....Fedha za bunge alizolipwa bank wamelamba baadhi.Akawekeze kwnye nini? Chama cha siasa ni mali ya umma sio ya mtu binafsi uchumi wa ccm haumhusu Samia why Lissu ajenge uchumi wake? Hoja mfu hii
Why wampe GSM au MO wakati Yupo le Supa Bilionea Mwamba wa Machame?Basi wakampe uenyekiti Mo au GSM
hivi rais wa wizi wa kura msumbiji kwa wa2 wanampinga???Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.
Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.
Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .
Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.
Mbowe = 21 years of experience.
Lissu = 0 year of experience.
And u guys want to replace 20 with zero?π€£π€£π€£π€£
Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.
Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.
Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.
#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
Ndiyo maana watanzania bado wanaendelea kuwa na imani na CCM. πππView attachment 3200588
View attachment 3200591
Hao wana experience ya miaka mingapi?
Au CCM dhidi ya CDM,
miaka mingapi ya kutawala kwa Zero?
Mbna bilionea ananunuliwa left n right tu km yupo maggot?Ajijenge kwanza kiuchumi ,mtu mwenye njaa ni rahisi sana kununulika na pia kwa mujibu wa rafiki yake alisema jamaa halipi madeni/dhulumati ,anaomba sana hizi laki 5 ,milioni milioni ,sasa mtu kama huyo akikutana na kina Abdul wakampa Biii anauza chama mazima....Fedha za bunge alizolipwa bank wamelamba baadhi.
Unlike others, in 20 years chama kimefika wapi? What new ata offer ambacho hajakifanya in those 20 years?Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.
Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.
Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .
Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.
Mbowe = 21 years of experience.
Lissu = 0 year of experience.
And u guys want to replace 20 with zero?π€£π€£π€£π€£
Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.
Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.
Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.
#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
Kweli kabisa na kesho wasije kwenye kampeni na lugha ya 61 ya CCM yatosha wamekaa sana hawana jipya π!.CCM wana experience ya miaka 60 kwahiyo mkae kwa kutulia.