Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa

leo naona Mayalla aka njaa kwa kiswahili umeiweka pembeni, ila makala kama hizi ndizo zinakunyimaga u-DC ndugu yangu.

Hoja nzuri kwa kuuanza mwaka 2023.
 
Mbona umeshindwa kuelezea hizo haki mbili za kuchagua na kuchaguliwa zimeporwa vipi, na nini kifanyike ili kuwarudishia walioporwa haki zao?

Au ndio umeelezea mbele ya makala yako?
Tunakwenda mdogo mdogo, unapoibiwa kwanza unaita "mwizi"... ili watu wajitokeze wamkimbize mwizi wamkamate ndipo sasa unakuja kusema ameiba nini!. Makala hii ni yowe tuu la mwizi...!.
P
 
Majuzi ulishauri kuwa baada ya kupewa udokta wa Heshima, asiitwe tena mama,

Vp mbona hutimizi ushauri wako Kwa vitendo?
 
Ktk histoaria yetu lazima ije iwekwe kuwa 'Tz tuliwahi kutawaliwa na kichaa!'
Kaulize bei ya mchele, nenda hospital, angalia wanafuzi wanavyo jazana kwenye darasa moja.

Alafu fikiri kuhusu maamuzi yetu ya kuwanunulia viongozi gari yenye thamani ya zaidi ya sh mill 400 ndio utajua nani kichaa kati ya alietawala na walio tawalia.
 
Mkuu, makala yako imeshiba, haki zote zilizopokwa zirudishwe, naunga mkono hoja yako makini.
 
Msukuma ourenhuyo! What is this? Unashukuru Nini? Mtu kakunynganya Shari lako, umefight ukakurudishia /ukalichukua, halafu unashukuru.......bladimbuzi
Acha hasira kamanda,angeamua kutukazia kama alivyofanya jiwe angeweza tu,kwa mfumo wa nchi yetu(si katiba) rais yupo juu ya kila kitu,hivyo mkuu Pascal Mayalla haja kosea kushukuru na pia ameainisha msingi wa shukrani yake kuwa ni hatimaye ume surrender na kunirudishia haki yangu ambayo nimeipigania kwa muda mrefu bila mafanikio,ila kwa utashi wako tu umenirudishia,hivyo
 
hapana, usiponipa shati langu kuna njia zingine....infantry in the long run!
 
Makala nzur sana..

Aidha ni mzalendo sana kwa nchi yake au otherwise .

Shukran kwa makala mkuu Wakili Msomi.
Mkuu Fortilo , asante, ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
Mawakili wasomi ni wale wa mahakamani, mimi ni wakili wa kwenye microphone na kwenye kalamu tuu!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…