Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa

Msukuma limbukeni huyo! What is this?
Mkuu Retired ,usitukane watu limbukeni!, huyu ni Ph.D holder, ni kichwa sana japo... GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!
Unashukuru Nini? Mtu kakunyanganya Shati lako, umefight akakurudishia /ukalichukua, halafu unashukuru.......
Huku ni kuwa mtu wa shukrani kwa kushukuru kwa yote,
bladimbuzi
Heshima kitu cha bure, usitukane watu bila kosa!.
P
 
Mkuu @Retired ,usitukane watu limbukeni!, huyu ni Ph.D holder, ni kichwa sana japo..
PhD from where? ngoja nione! Hizi za Udom? hapana! Tafuta thesis zao uone kama kweli kuna new knowledge of importance wameiainisha kwenye tafiti zao... most likely ni surveys! Surveys za KAP is not research!
 
Mkuu lakini hata wewe hujioni? swali lako lilikufanya ukawa maarufu kupita kiasi, binafsi nilikuwa sikujui hata kidogo ndiyo ilisababisha nikaanza kukufuatilia Star TV sijui wapi, ulivyokuja kuzingua mkuu tulikuambia
Mimi ni old school, wengi humu ni madogo!, wengi wa zamani wananijua nilipokuwa naendesha kipindi cha Kiti Moto.
P
 
Haki ni stahiki sio hisani!, haki haiombwi na kutegemea hisani, wala haki haihitaji vikao, mikutano na majadiliano na maridhiano kuzijadili haki, na haki hauletewi kwenye kisahani cha chai kama hisani, fadhila au zawadi, haki ni stahiki inayopaswa kutolewa unconditional bila masharti yoyote, Haki is a right, inayopaswa kutolewa unconditional na isipotolewa, haiombwi, wala haibembelezewi kwa vikao vya maridhiano, bali hudaiwa, na katika kuidai huku kukishindikana kuidai kwa amani na kisheria, ndipo nguvu hutumika kuipigania, kwa kuweka mashinikizi ya mikutano na maandamano ya kudai haki hizo na sio kuziomba, na hapa ni pale tuu inapobidi, baada ya njia nyingine zote kushindikana ni katika kuipigania huku kuna wakati machozi, jasho na damu huweza kumwagika, katika kupigania haki.
Duh...!. Pen down!.
P
 
moja ya udhaifu wetu mkubwa ni kuomba kitu ambacho ni halali yako na matokeo yake tunawapa nafasi watawala kutupa kile anachoona kwake hakina madhara.
Swala kuchaguliwa au kuchagua ni haki tuliyo nayo hivyo tusitegemee tutapewa kwa huruma ya watawala waliopo.
Mchungaji Mtikila mpaka umauti unamkuta aliipigania bila kuchoka na mwisho wake alishinda kwenye mahakama ya Afrika lakini ilipokuja kusajiliwa kwenye mahakamu kuu serikali illeta uetezi kuwa haki ya kuchaguliwa imewekwa kwenye rasimu ya katiba ambayo ingeenda kujadiliwa kwenye bunge la katiba.
Kinachotakiwa ni kurudi mahakamani na kuitaka mahakama ikazie hukumu na sio kutegemea huruma ya rais Samia.
 
leo naona Mayalla aka njaa kwa kiswahili umeiweka pembeni,
Mkuu FUSO , hizi kauli za jina hili nyingine zinatoka kwa people with powers, kauli zao zinaumba, hivyo kuniumbia hiyo hali!.
ila makala kama hizi ndizo zinakunyimaga u-DC ndugu yangu.

Hoja nzuri kwa kuuanza mwaka 2023.
Mkuu Fuso, kwanza humu siku hizi kumejaa madogo, na wengi humu wanadhani mimi naandika humu ili kuusaka u DC!, lakini old school wenzangu they know me and they know what I stand for.
P
 
moja ya udhaifu wetu mkubwa ni kuomba kitu ambacho ni halali yako na matokeo yake tunawapa nafasi watawala kutupa kile anachoona kwake hakina madhara.
Swala kuchaguliwa au kuchagua ni haki tuliyo nayo hivyo tusitegemee tutapewa kwa huruma ya watawala waliopo.
Mchungaji Mtikila mpaka umauti unamkuta aliipigania bila kuchoka na mwisho wake alishinda kwenye mahakama ya Afrika lakini ilipokuja kusajiliwa kwenye mahakamu kuu serikali illeta uetezi kuwa haki ya kuchaguliwa imewekwa kwenye rasimu ya katiba ambayo ingeenda kujadiliwa kwenye bunge la katiba.
Kinachotakiwa ni kurudi mahakamani na kuitaka mahakama ikazie hukumu na sio kutegemea huruma ya rais Samia.
Upo sahihi sn comrade
 
Haki ni stahiki sio hisani!, haki haiombwi na kutegemea hisani, wala haki haihitaji vikao, mikutano na majadiliano na maridhiano kuzijadili haki, na haki hauletewi kwenye kisahani cha chai kama hisani, fadhila au zawadi, haki ni stahiki inayopaswa kutolewa unconditional bila masharti yoyote, Haki is a right, inayopaswa kutolewa unconditional na isipotolewa, haiombwi, wala haibembelezewi kwa vikao vya maridhiano, bali hudaiwa, na katika kuidai huku kukishindikana kuidai kwa amani na kisheria, ndipo nguvu hutumika kuipigania, kwa kuweka mashinikizi ya mikutano na maandamano ya kudai haki hizo na sio kuziomba, na hapa ni pale tuu inapobidi, baada ya njia nyingine zote kushindikana ni katika kuipigania huku kuna wakati machozi, jasho na damu huweza kumwagika, katika kupigania haki.
Lazima tupambane na hawa watawala dhalimu haswa
 
Back
Top Bottom