Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa kwa kuchomekewa ubatili, uliochomekwa kiubatili, hivyo kutunga sheria batili na kumsainisha sheria batili inayokwenda kinyume cha Katiba.
Msaidizi wake Mkuu uchumi ni kama chawa fulani hivi, hivyo tuna upungufu mkubwa wa viongozi wakweli.
Mmoja wa viongozi wakweli ni CAG Mstaafu Prof. Mussa Juma Assad, huyu ni mkweli daima, nyeusi ataita nyeusi na nyeupe ni nyeupe, hakopeshi, wazungu wanasema mtu anaye "call a spade a spade and not a big spoon"
Hebu kwanza msikilize Prof Assad kwenye baadhi ya hoja.
View: https://youtu.be/dg23YBKgtIQ?si=QDFBHSJWbCe5Uwv1
View: https://youtu.be/PGmbd6zTJXY?si=xNoyVLr39M5m377l
View: https://youtu.be/lsTSL8lNlxM?si=6FGzKURmUYmeDb3l
View: https://youtu.be/Tn5c9p4Ya0I?si=rJiSqyT7TYh9X0gQ
View: https://youtu.be/sARDPwv8eio?si=btJZ9hBCutT9jvq7
View: https://youtu.be/wy_vJAXJh6U?si=vZDMrANSsCRy0-U1
View: https://youtu.be/rIRx83B-AVU?si=21ytVseiirSgth-X
View: https://youtu.be/hzCLuKYnY8w?si=xkqYsiVE7ZiXICLp
View: https://youtu.be/cH8Q6vk3ycM?si=zbsUQ4BtVeOWKsSr
View: https://youtu.be/BPiVWozoKWg?si=9EYafS7RrwRgvm9e
Kitendo cha kuteuliwa mjumbe tume ya kodi, ataisaidia sana tume hii, swali litabaki kuwa viongozi wengi hawapendi kuambiwa ukweli, kitendo cha Rais Samia kuwateua watu ma bold wa type hii, kinastahili pongezi, hii inamaanisha Rais Samia yuko tayari kuambiwa ukweli na utauppkea na kuufanyia kazi.
Big Up sana Rais Samia kutuletea Prof. Mussa Assad, tena ingekuwa sio anazuiliwa na katiba kutumika kwenye nafasi ya utendaji, ningekushauri, mtimie yule chawa pale kwenye uchumi, mambo ya uchumi hayahitaji uchawa uchawa, na badala yake uchawa endeleeni nao kwenye siasa.
Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.