Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

kaka PASKAL
Katika Quran, kusema ukweli ni thamani ya juu na ni wajibu wa kila Mwislamu. Quran inasisitiza umuhimu wa kusema ukweli na inakataza uongo katika aya mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya aya zinazozungumzia kuhusu kusema ukweli:

  1. Surat Al-Baqarah (2:42):"Wala msivae ukweli kwa uwongo, wala msifiche ukweli hali mnaujua."
  2. Surat Al-Ankabut (29:3):"Na kwa yakini tutawajaribu ili tujue wapigananao Jihad kati yenu na wanaosubiri, na tuzidhihirishe khabari zenu."
  3. Surat Al-Isra (17:36):"Wala usifuate usiyokuwa na ilimu nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo - hivyo vyote vitakuwa vinaulizwa."
  4. Surat Al-Hajj (22:30):"Basi hivyo ndivyo. Na anayehishimu alama za Mwenyezi Mungu, basi haya ni katika unyofu wa nyoyo."
  5. Surat An-Nisa (4:135):"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa uadilifu, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, ijapokuwa ni dhidi ya nafsi zenu wenyewe au wazazi wawili na jamaa zenu. Akiwa tajiri au maskini, basi Mwenyezi Mungu anawastahiki zaidi. Basi msifuate matamanio, ili muweze kufanya uadilifu. Na mkiupotosha ukweli au mkajitenga nao, basi Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayoyatenda."
Aya hizi na nyingine nyingi zinaonyesha umuhimu wa kusema ukweli na kujiepusha na uongo. Sema kweli daima, kwani kusema kweli ni moja ya maadili makuu ya Kiislamu ambayo yanamleta mtu karibu na Mwenyezi Mungu na jamii yake.
Umekoment hivyo kwakuwa kachaguliwa mpiga dili Assad?
 
Wanabodi
Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa kwa kuchomekewa ubatili, uliochomekwa kiubatili, hivyo kutunga sheria batili na kumsainisha sheria batili inayokwenda kinyume cha Katiba.

Msaidizi wake Mkuu uchumi ni kama chawa fulani hivi, hivyo tuna upungufu mkubwa wa viongozi wakweli.

Mmoja wa viongozi wakweli ni CAG Mstaafu Prof. Mussa Juma Assad, huyu ni mkweli daima, nyeusi ataita nyeusi na nyeupe ni nyeupe, hakopeshi, wazungu wanasema mtu anaye "call a spade a spade and not a big spoon"

Hebu kwanza msikilize Prof Assad kwenye baadhi ya hoja.
View: https://youtu.be/dg23YBKgtIQ?si=QDFBHSJWbCe5Uwv1

View: https://youtu.be/PGmbd6zTJXY?si=xNoyVLr39M5m377l

View: https://youtu.be/lsTSL8lNlxM?si=6FGzKURmUYmeDb3l

View: https://youtu.be/Tn5c9p4Ya0I?si=rJiSqyT7TYh9X0gQ

View: https://youtu.be/sARDPwv8eio?si=btJZ9hBCutT9jvq7

View: https://youtu.be/wy_vJAXJh6U?si=vZDMrANSsCRy0-U1

View: https://youtu.be/rIRx83B-AVU?si=21ytVseiirSgth-X

View: https://youtu.be/hzCLuKYnY8w?si=xkqYsiVE7ZiXICLp

View: https://youtu.be/cH8Q6vk3ycM?si=zbsUQ4BtVeOWKsSr

View: https://youtu.be/BPiVWozoKWg?si=9EYafS7RrwRgvm9e

Kitendo cha kuteuliwa mjumbe tume ya kodi, ataisaidia sana tume hii, swali litabaki kuwa viongozi wengi hawapendi kuambiwa ukweli, kitendo cha Rais Samia kuwateua watu ma bold wa type hii, kinastahili pongezi, hii inamaanisha Rais Samia yuko tayari kuambiwa ukweli na utauppkea na kuufanyia kazi.

Big Up sana Rais Samia kutuletea Prof. Mussa Assad, tena ingekuwa sio anazuiliwa na katiba kutumika kwenye nafasi ya utendaji, ningekushauri, mtimie yule chawa pale kwenye uchumi, mambo ya uchumi hayahitaji uchawa uchawa, na badala yake uchawa endeleeni nao kwenye siasa.

Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.

Alizugwa na zitto eti uteuzi wake hawezi kutenguliwa wakati alikua ameteuliwa kwa mkataba. Mkataba ulipoisha Magu aka mchagua mtu mwingine. Poffesor mzima eti hakuliona hilo akaishia kubwata na kumpiga vijembe jpm kwa kumtengua kinyume cha sheria.
 
Mnadhani ni mkweli sana sio😂

Enzi zake akuwahi kuibua madudu ya mashirika ya hifadhi ya jamii mpaka yanaingia ICU KWA urafiki wake na Alhaj mmoja

Bongo mnasifigia watu kwa matukio machache tu ila wengi ni miozo tu
Wakristo mna chuki na waislam,ni kwann hasa? Na mioyo yenu imebeba chuki zaidi ya mnayoonyesha
 
We needed a few business people na vijana kwenye hiyo timu
Sahihi sensa inaonyesha vijana ndio wengi kwenye jamii

Hata biashara wazee akina Bahkheresa na Mzee Dewji wamekabidhi biashara zao zote Kwa vijana wao waendeshe

Kuna vijana wamesoma sana na wako kwenye biashara kubwa sana tu

Hiyo tume haijazingatia Hilo Wala jinsia
Wamejaa wazee watupu Tena waliojichokea baada ya kustaafu
 
Wewe kweli ni bumunda.
Mtu kujiita hivyo na wala hajawa "verified" unamchukulia kuwa ni Mkaskazini na kutujumuisha sote humo!!!
Kwa taarifa yako,huyo ni bumunda mwenzako wa chama cha mambuzi.

Watu wa kaskazini udini umewakaa,haya nssf ilikua na shida gani wakati wa dau?..hebu dadavua
 
Wanabodi
Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa kwa kuchomekewa ubatili, uliochomekwa kiubatili, hivyo kutunga sheria batili na kumsainisha sheria batili inayokwenda kinyume cha Katiba.

Msaidizi wake Mkuu uchumi ni kama chawa fulani hivi, hivyo tuna upungufu mkubwa wa viongozi wakweli.

Mmoja wa viongozi wakweli ni CAG Mstaafu Prof. Mussa Juma Assad, huyu ni mkweli daima, nyeusi ataita nyeusi na nyeupe ni nyeupe, hakopeshi, wazungu wanasema mtu anaye "call a spade a spade and not a big spoon"

Hebu kwanza msikilize Prof Assad kwenye baadhi ya hoja.
View: https://youtu.be/dg23YBKgtIQ?si=QDFBHSJWbCe5Uwv1

View: https://youtu.be/PGmbd6zTJXY?si=xNoyVLr39M5m377l

View: https://youtu.be/lsTSL8lNlxM?si=6FGzKURmUYmeDb3l

View: https://youtu.be/Tn5c9p4Ya0I?si=rJiSqyT7TYh9X0gQ

View: https://youtu.be/sARDPwv8eio?si=btJZ9hBCutT9jvq7

View: https://youtu.be/wy_vJAXJh6U?si=vZDMrANSsCRy0-U1

View: https://youtu.be/rIRx83B-AVU?si=21ytVseiirSgth-X

View: https://youtu.be/hzCLuKYnY8w?si=xkqYsiVE7ZiXICLp

View: https://youtu.be/cH8Q6vk3ycM?si=zbsUQ4BtVeOWKsSr

View: https://youtu.be/BPiVWozoKWg?si=9EYafS7RrwRgvm9e

Kitendo cha kuteuliwa mjumbe tume ya kodi, ataisaidia sana tume hii, swali litabaki kuwa viongozi wengi hawapendi kuambiwa ukweli, kitendo cha Rais Samia kuwateua watu ma bold wa type hii, kinastahili pongezi, hii inamaanisha Rais Samia yuko tayari kuambiwa ukweli na utauppkea na kuufanyia kazi.

Big Up sana Rais Samia kutuletea Prof. Mussa Assad, tena ingekuwa sio anazuiliwa na katiba kutumika kwenye nafasi ya utendaji, ningekushauri, mtimie yule chawa pale kwenye uchumi, mambo ya uchumi hayahitaji uchawa uchawa, na badala yake uchawa endeleeni nao kwenye siasa.

Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.

Rais ana jopo la washauri lakini akikutana nao kwenye kikao yeye Rais ndiyo anawashauri!!
 
Nosense...Kwani TRA ni ya muungano? Zanzibar siwanayo taasisi Yao? Hivi wepaskali ni mwanasheria kweli??Nilini sisi tulienda kuwashauri wafanyaje mamboyao yandani mf. Kodi??Unatujazia mapiiicha kama unampenda sana kanywe nae chai tutolee upambe uchawa buroo! Wanasheria waskuizi ni vilaza sana!!!
 
Kulinda mahalji ajambo

Jamaa usipokua alahaj atakukagua mapaka pichu

Haha hivi Rafiki yake wa Nssf Yu wap 😂

Mashirika ya mfuko ya jamii yalikua na mwenendo mbaya sana ila kwa vile yule jamaa ni mwenzie wakawa wanaficha ficha mpaka yakajifiaaa yote
Dau alipokuwa NSSF , Asad alikuwa CAG?.
 
Wanabodi
Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa kwa kuchomekewa ubatili, uliochomekwa kiubatili, hivyo kutunga sheria batili na kumsainisha sheria batili inayokwenda kinyume cha Katiba.

Msaidizi wake Mkuu uchumi ni kama chawa fulani hivi, hivyo tuna upungufu mkubwa wa viongozi wakweli.

Mmoja wa viongozi wakweli ni CAG Mstaafu Prof. Mussa Juma Assad, huyu ni mkweli daima, nyeusi ataita nyeusi na nyeupe ni nyeupe, hakopeshi, wazungu wanasema mtu anaye "call a spade a spade and not a big spoon"

Hebu kwanza msikilize Prof Assad kwenye baadhi ya hoja.
View: https://youtu.be/dg23YBKgtIQ?si=QDFBHSJWbCe5Uwv1

View: https://youtu.be/PGmbd6zTJXY?si=xNoyVLr39M5m377l

View: https://youtu.be/lsTSL8lNlxM?si=6FGzKURmUYmeDb3l

View: https://youtu.be/Tn5c9p4Ya0I?si=rJiSqyT7TYh9X0gQ

View: https://youtu.be/sARDPwv8eio?si=btJZ9hBCutT9jvq7

View: https://youtu.be/wy_vJAXJh6U?si=vZDMrANSsCRy0-U1

View: https://youtu.be/rIRx83B-AVU?si=21ytVseiirSgth-X

View: https://youtu.be/hzCLuKYnY8w?si=xkqYsiVE7ZiXICLp

View: https://youtu.be/cH8Q6vk3ycM?si=zbsUQ4BtVeOWKsSr

View: https://youtu.be/BPiVWozoKWg?si=9EYafS7RrwRgvm9e

Kitendo cha kuteuliwa mjumbe tume ya kodi, ataisaidia sana tume hii, swali litabaki kuwa viongozi wengi hawapendi kuambiwa ukweli, kitendo cha Rais Samia kuwateua watu ma bold wa type hii, kinastahili pongezi, hii inamaanisha Rais Samia yuko tayari kuambiwa ukweli na utauppkea na kuufanyia kazi.

Big Up sana Rais Samia kutuletea Prof. Mussa Assad, tena ingekuwa sio anazuiliwa na katiba kutumika kwenye nafasi ya utendaji, ningekushauri, mtimie yule chawa pale kwenye uchumi, mambo ya uchumi hayahitaji uchawa uchawa, na badala yake uchawa endeleeni nao kwenye siasa.

Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.

Hapo kwenye kuambiwa ukweli ndio changamoto iliyopo. We all know viongozi wengi hawapendi . Mhe rais apookee report ya haw ajamaa hata kama itakuwa chungu
 
Nakupongeza sana mkuu Paskali kwa kusema ukweli. Leo umeamua kumuambia ukweli chawa mwigulu Nchemba
 
Vijana- Makamba na Nape- you must be kidding- hao wanafanya kazi ya ushauri na vijana wanastahili kufanya kazi za utendaji (operational)
Hao ni wazee

Tuna young and vibrant youths 21-39 wanatosha na wengine wako njema

You politicize everything these days na ndio maana tumeishia kuwa taifa la kubeti, mpira , siasa na bongo flevva

Upuuzi mtupu
 
Sababu ya asali na udini hataweza kuwa na reaction uliyoizoea nayo ya ukweli.

Atatumia lugha ya tashtiti kuufikisha ukweli na unaweza usifanyiwe kazi. Ila hii tume inawezekana anatafutwa madelu aondolewe kuwe na justification maana waziri wa fedha anajua pesa za chini ya meza nyingi za bosi wake na bosi akihitaji fedha isipite vitabuni yeye ndio mchora ledgers.

So hawezi kutimuliwa kwa fedheha.
 
Kulinda mahalji ajambo

Jamaa usipokua alahaj atakukagua mapaka pichu

Haha hivi Rafiki yake wa Nssf Yu wap 😂

Mashirika ya mfuko ya jamii yalikua na mwenendo mbaya sana ila kwa vile yule jamaa ni mwenzie wakawa wanaficha ficha mpaka yakajifiaaa yote
Nssf haijafa na Wala haikua na Hali mbaya mpaka alipoingia JPM.
 
Mi SWALI langu kwako, je hawa wazee siku zote SI walikuwepo tuu na walisimamia haya?? Profesa Asad alikuwa CAG kabisa, ALIWAHI kushauri kuhusiana na maswala haya wakati akiwa ofisini? Hawa wazee walkua hawaoni mapungufu siku zote hizi?? Unaonaje pia kwenye tume pia wangeekwa na walipa Kodi ambao ndio waathirika wakuu wachanganye mawazo Yao.

Natamani siku Moja hapa nchini mstaafu akistaafu, apumzike. Alishafanya yake wakati akiwa kazini tunashukuru...nafasi kama hizi zipewe nyuso mpya, ili tuwe na maoni mapya mapya yanayoendana na wakati. Tuna wasomi wengi sana tena wazalendo ktk nchi hii na ambao wapo tayari kulitumikia Taifa hili.
Wazee wakishastaafu wapumzike wale mafao...Tena wengi wa Hawa sudhan hata kama walipata athari za kikokotoo...tunapenda tuone sura mpya sio tu kwenye tume, Hadi kwenye bodi za mashirika ya uma... TUNATAKA akili mpya, wazee washachoka wapumzike
Wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi yaani kujizima data
 
Back
Top Bottom