Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

Umekoment hivyo kwakuwa kachaguliwa mpiga dili Assad?
 
Alizugwa na zitto eti uteuzi wake hawezi kutenguliwa wakati alikua ameteuliwa kwa mkataba. Mkataba ulipoisha Magu aka mchagua mtu mwingine. Poffesor mzima eti hakuliona hilo akaishia kubwata na kumpiga vijembe jpm kwa kumtengua kinyume cha sheria.
 
Mnadhani ni mkweli sana sio😂


Enzi zake akuwahi kuibua madudu ya mashirika ya hifadhi ya jamii mpaka yanaingia ICU KWA urafiki wake na Alhaj mmoja

Bongo mnasifigia watu kwa matukio machache tu ila wengi ni miozo tu
Wakristo mna chuki na waislam,ni kwann hasa? Na mioyo yenu imebeba chuki zaidi ya mnayoonyesha
 
We needed a few business people na vijana kwenye hiyo timu
Sahihi sensa inaonyesha vijana ndio wengi kwenye jamii

Hata biashara wazee akina Bahkheresa na Mzee Dewji wamekabidhi biashara zao zote Kwa vijana wao waendeshe

Kuna vijana wamesoma sana na wako kwenye biashara kubwa sana tu

Hiyo tume haijazingatia Hilo Wala jinsia
Wamejaa wazee watupu Tena waliojichokea baada ya kustaafu
 
Wewe kweli ni bumunda.
Mtu kujiita hivyo na wala hajawa "verified" unamchukulia kuwa ni Mkaskazini na kutujumuisha sote humo!!!
Kwa taarifa yako,huyo ni bumunda mwenzako wa chama cha mambuzi.


Watu wa kaskazini udini umewakaa,haya nssf ilikua na shida gani wakati wa dau?..hebu dadavua
 
Rais ana jopo la washauri lakini akikutana nao kwenye kikao yeye Rais ndiyo anawashauri!!
 
Nosense...Kwani TRA ni ya muungano? Zanzibar siwanayo taasisi Yao? Hivi wepaskali ni mwanasheria kweli??Nilini sisi tulienda kuwashauri wafanyaje mamboyao yandani mf. Kodi??Unatujazia mapiiicha kama unampenda sana kanywe nae chai tutolee upambe uchawa buroo! Wanasheria waskuizi ni vilaza sana!!!
 
Dau alipokuwa NSSF , Asad alikuwa CAG?.
 
Hapo kwenye kuambiwa ukweli ndio changamoto iliyopo. We all know viongozi wengi hawapendi . Mhe rais apookee report ya haw ajamaa hata kama itakuwa chungu
 
Nakupongeza sana mkuu Paskali kwa kusema ukweli. Leo umeamua kumuambia ukweli chawa mwigulu Nchemba
 
Vijana- Makamba na Nape- you must be kidding- hao wanafanya kazi ya ushauri na vijana wanastahili kufanya kazi za utendaji (operational)
Hao ni wazee

Tuna young and vibrant youths 21-39 wanatosha na wengine wako njema

You politicize everything these days na ndio maana tumeishia kuwa taifa la kubeti, mpira , siasa na bongo flevva

Upuuzi mtupu
 
Sababu ya asali na udini hataweza kuwa na reaction uliyoizoea nayo ya ukweli.

Atatumia lugha ya tashtiti kuufikisha ukweli na unaweza usifanyiwe kazi. Ila hii tume inawezekana anatafutwa madelu aondolewe kuwe na justification maana waziri wa fedha anajua pesa za chini ya meza nyingi za bosi wake na bosi akihitaji fedha isipite vitabuni yeye ndio mchora ledgers.

So hawezi kutimuliwa kwa fedheha.
 
Nssf haijafa na Wala haikua na Hali mbaya mpaka alipoingia JPM.
 
Wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi yaani kujizima data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…