Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

Ni kweli Mama Samia anaweza kuhimili kusikia ukweli utadhani sio mwanamke. Maana kuna mwanaume mmoja alikuwa na kiburi cha madaraka, lakini hakuwa na ubavu wa kumudu ukweli. Tatizo la mama Samia sio kusikiliza ukweli, bali ni kufanyia ukweli kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…