abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Hizo ni fikra zao tu mkuu,
Ila wakati CCM inaundwa hao hawakuwepo
Historia inatuambia hivyo.
Hivyo wasikutishe mkuu,
Acha waruke ruke tu ila yote haya yana mwisho wake.
Mungu atatusaidia.
Kama alikuwa muuaji unachati kutoka kaburini auMaelezo yako yote hayabadishi ukweli wa kuwa Magu alikuwa mtesaji, muuaji, jambazi katili na dictator.
Heri hawa matapeli ni rahisi jinsi ya kuishi nao.
Aisee huu utatu unanikumbusha IT Masaki gang😂😂Yes na utatu mchafu umekamilika.
Nape
Makamba
Mwigulu.
Haha maza amechemsha sana...eti jambazi Rizi anapewa ardhi????
Wewe ni mpumbavu
Mmh! Yetu macho na masikio ! Let us hope and pray for the best, year 2022 is on the way,Utelezi unadondosha na kuvunjavinja saa nyingine...Sijui kwanini macho yangu huwa yanaona yasiyoonekana....It is well with my country
Aisee huu utatu unanikumbusha IT Masaki gang[emoji23][emoji23]
Hawa mafisi lazima mtu alie tuAisee huu utatu unanikumbusha IT Masaki gang[emoji23][emoji23]
Watanzania walidhani mchezo, mizoga timu hawako kwenye masikhara, wanausongo, hasira na uchu pia.Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Watanzania walidhani mchezo, mizoga timu hawako kwenye masikhara, wanausongo, hasira na uchu pia.Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Hivi Bashite anajisikiaje huko aliko maana hata USA alikataliwaYote hiyo ni Mipango ya Mungu.
Wapo waliojiona Dunia nzima ni yao na kufikia hatua ya kujiona ni Miungu ila leo wamebakia Historia tu.
Hata hawa leo wanaojiona hii nchi ni yao ipo siku aliyopanga Mungu watabakia historia tu.
Tanzania itapumua bila wao.
Ipo siku na itakuja na wala haipo mbali sana.
Uhuru kamili upo karibu sana. Tutaupata tu.
Kikwete kikwete ameonyeshwa rangi zake halisi leo.Watanzania walidhani mchezo, mizoga timu hawako kwenye masikhara, wanausongo, hasira na uchu pia.
Baada ya kumaliza kazi march ya mwaka ule, hili la leo walilisubiri kwa hamu na gamu na kwa leo sherehe imeanza , wakisherehekea ushindi kuanzia march mwaka ule,
YA LEO KALI,
Kaka hii ni battle sasa, hapatakalika , utaniambia,Kikwete kikwete ameonyeshwa rangi zake halisi leo.
Hatupo salama tena.
Nimeona, kuanzia kesho watu wataanza kuwasili uwanja wa vita.Kaka hii ni battle sasa, hapatakalika , utaniambia,
Sana mkuu, sasa hivi tunapoongea nchi iko hot, uslama wa taifa wanahaha , imagine wanavyohangaika kuhandle situation isiwaponyoke lakini its too late,nao pia wamo mfukoni mwa Jinga Kubwa, ndio maana hawajazuia huu uozo, hapa ni kumalizana tu, kieleweke,Nimeona, kuanzia kesho watu wataanza kuwasili upande wa vita.
Viroboto watafute pa kwenda.Wahuni wamerudi rasmi.
Jinga kubwa ni mzoga?Sana mkuu, sasa hivi tunapoongea nchi iko hot, uslama wa taifa wanahaha , imagine wanavyohangaika kuhandle situation isiwaponyoke lakini its too late,nao pia wamo mfukoni mwa Jinga Kubwa, ndio maana hawajazuia huu uozo, hapa ni kumalizana tu, kieleweke,
J.inga K.ubwa,Jinga kubwa ni mzoga?
Ndio mzoga wenyewe mkuu...ondoa z na uweke sJ.inga K.ubwa,
Uchunie , mkuu,Ndio mzoga wenyewe mkuu...ondoa z na uweke s