abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Mbna cku hiz umekuwa mnyonge sana we uvccm?????
Hizo ni fikra zao tu mkuu,
Ila wakati CCM inaundwa hao hawakuwepo
Historia inatuambia hivyo.
Hivyo wasikutishe mkuu,
Acha waruke ruke tu ila yote haya yana mwisho wake.
Mungu atatusaidia.