Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

Hatukubali, lazima tumlazimishe awe mwenyekiti wa maisha! Sisi wanachama ndo tunataka siyo yeye!
 
Mh MBOWE , bado Sana hasitutanie
 
Jembe ameutiendea haki da wake alioishi duniani kwa kupigania haki
 
Namuona Tundu ANTIPASS LISSU akiukwaa uenyekiti,kinyume na hapo CHAMA KIMEKUFA.
 
Na huo ndio mwisho wa Chadema!
Mbona mumefurahi sana,si ni nyinyi mliokuwa mkiomba ili Magufuli atawale Milele? sasa na sisi ngoja tuingie kazini ili ikifika tarehe ya kujiuzulu aahirishe

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…