Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

Baada ya ruzuku kuyeyuka nayeye anasepa
 
Freeman Aikaeli Mbowe, among very few Political Parties Chairperson that are sensible, worth listening, stand by their words, considerate, democratic, to mention only the few
Kama ni hivyo kwanini hakuwa mgombea wa muda mrefu upande wa rais badala yake amekuwa mwenyekiti wa muda mrefu chadema
 
CHADEMA BADO ITAMUHITAJI KWA "MONITORING'!
... napendekeza abakie kama 'kiongozi mkuu' kwa maisha yake yaliyobaki, yaani apunguze tu majukumu yanayohitaji nguvu nyingi lakini aendelee kuwa ÁKILI YA CHAMA'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…