Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Bashite hawezi kutupwa kabisa kwani ana siri nyingi chafu za mfalme jh
Bashite hawezi kutupwa kabisa kwani ana siri nyingi chafu za mfalme jh
Endeleeni kumfarijiKwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.
Note hii comment
Utasubiri sana.Kwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.
Note hii comment
PSU roho ya Magufuli. Nimeona kaunda zimemzuia kuingia ndani huyu bwana atakuwa na maisha magumu sana ingawa pesa anayo nyingi tu
Zile nafasi nasikia zina watu wake maalumu wa kupewa kama wanawake au wazee au vilema au watu wenye elimu kubwa kubwa na sio huyo kijana wa kiume mwenye nguvu zakeDah!...siasa hazitabirika huenda akaibukia mkoa wowote kama RC baada ya uchaguzi au akateuliwa kuwa mbunge kwenye zile nafasi za Rais.
Huyu hapa inaumiza sanaTaarifa ya kufukuzwa kuingia vip batishe haijakamilika. Mbona haionyeshwi Hadi mwisho akirudishwa kwa wazururaji.
Kama jamaa atatoboa Makonda anarudi madhabauni tena muda ni MWL.Ndiyo huwa 'anakudanganya' ukiwa nae 'Faragha' Chumbani?
unajua watu wengi wameshindwa kuelewa pale ni kwamba rais akishaingia sehem yoyote haparuhusiwi tena mtu kuingia na ndio maana bwana mdogo alizuiliwa pale kwakua mkuu wa nchi alishaingiaKuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.
Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.
Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Naona amejichanganya zake na wakina utopoloHuyu hapa inaumiza sanaView attachment 1552477