Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Mbuzi wa kafara la kumsafisha Jiwe kitaifa na kimataifa. Unaweza akurudishwa baadae au hasirudishwe na kuachwa kuwa raia wa kawaida na hasipokuwa makini akaendelea na maisha yake anaweza kupotezwa kabisa kufuta ushahidi.

Makonda kwa sasa kuwa mpole tu maisha yaendelee,ukienda kwenye mikusanyiko kaa na watu wa kawaida kwa sasa si kiongozi tena. Hicho kiherehere chako watakupotoza shauri yako.
 
Kama Ni kweli Yeye ndiye mastaplan wa Ile 'mission' iliyomsabababishia kilema The chosen One' TL, Basi hakika damu inamuandama pamoja na ndoto za kutisha na kuogofya katika usingizi wake.

Na hii itapelekea 'jamaa' kuwa 'mental' kisaikoloji.
 
Huyu mtu kawa tajiri kupita maelezo na hii inatuchafua kwenye chama na kujiuliza hivi kweli ukuu wa wilaya na baadae ukuu wa Mkoa wa miaka Minne, umekuwezesha vipi kuwa na ukwasi kwa kiasi hiki?

Ni dhahiri ziko njia chafu umezipitia zilizokupa hayo yalokupa ukwasi huo. Mkuu wetu Katu hawezi kuungana nawe au kufurahishwa nawe.
Take my note.
 
Kwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.

Note hii comment
Utasubiri sana.
 
Dah!...siasa hazitabirika huenda akaibukia mkoa wowote kama RC baada ya uchaguzi au akateuliwa kuwa mbunge kwenye zile nafasi za Rais.
 
Dah!...siasa hazitabirika huenda akaibukia mkoa wowote kama RC baada ya uchaguzi au akateuliwa kuwa mbunge kwenye zile nafasi za Rais.
Zile nafasi nasikia zina watu wake maalumu wa kupewa kama wanawake au wazee au vilema au watu wenye elimu kubwa kubwa na sio huyo kijana wa kiume mwenye nguvu zake
 
Taarifa ya kufukuzwa kuingia vip batishe haijakamilika. Mbona haionyeshwi Hadi mwisho akirudishwa kwa wazururaji.
Huyu hapa inaumiza sana
IMG_20200829_230326.jpeg
 
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
unajua watu wengi wameshindwa kuelewa pale ni kwamba rais akishaingia sehem yoyote haparuhusiwi tena mtu kuingia na ndio maana bwana mdogo alizuiliwa pale kwakua mkuu wa nchi alishaingia
 
Back
Top Bottom