Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Bulembo ana ulemavu au elimu kubwa?mbona alipewa?Zile nafasi nasikia zina watu wake maalumu wa kupewa kama wanawake au wazee au vilema au watu wenye elimu kubwa kubwa na sio huyo kijana wa kiume mwenye nguvu zake
Alijiaminisha kabisa kuwa baada ya mkulu anayefuata kiwadhifa ni yeye.
View attachment 1552063
Hili mlichukulie kwa tahadhari kubwa mno, hii ni sinema iliyotengenezwa na watawala baada ya kuusoma upepo amini nakwambia baba yake akishika dola utamuona katika teuzi na sijui kama atakosa Balozi nina bet????
Ametoa mawazo yake.You dont have to attack him/her with such kind of words.Ndiyo huwa 'anakudanganya' ukiwa nae 'Faragha' Chumbani?
Ametoa mawazo yake.You dont have to attack him/her with such kind of words.
Acha umama aiseeSiku zote tuombeane heri na kama tumekosewa tusamehe kadri maandiko yalivyoasa, hakuna mkamilifu chini ya jua.
Comment ya kishujaa hiii kabisaAcha umama aisee
Hata Mimi nafikiri hivyo pia. So!, tuweke akiba ya maneno kwanza.Kwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.
Note hii comment
Mbona unaachia thread mfululizo za kumchimba sana bashite nyie ni wake wenza au?