Prisonerx
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 681
- 1,792
Kabisa hawana shida ni raia wa kawaida tu 😁Ni ukweli kabisa hapo 'Beach Kidimbwi' karibia 95% ya 'Wagenii' ni hao Watu wa 'Eagle Wing House' japo na siye tusiokuwa tulikuwa tukienda pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa hawana shida ni raia wa kawaida tu 😁Ni ukweli kabisa hapo 'Beach Kidimbwi' karibia 95% ya 'Wagenii' ni hao Watu wa 'Eagle Wing House' japo na siye tusiokuwa tulikuwa tukienda pia.
Kabisa hawana shida ni raia wa kawaida tu 😁
AhaahahahaMbona nilikuona Mkuu na 'Nyama' zote katika lile 'Sinia' kubwa la mwisho ambalo lilipitishwa upande wa kule 'Baharini' ulizimalizia Wewe kabisa tu?
Ni company tu mzee mwenzangu mimi hao watu nawaogopa sana. Nenda kule ukajaze fomu huwenda ukapewa/ambulia uafisa kipenyo 😜Ni kweli kabisa Mkuu kama vile ulivyo Wewe Mwenzao hivi. Nikikutafuta ili nami unisaidie niwe sehemu yao utashindwa kweli mwana 'Eagle' Wewe?
Ni company tu mzee mwenzangu mimi hao watu nawaogopa sana. Nenda kule ukajaze fomu huwenda ukapewa uafisa kipenyo 😜
Kwa mtazamamo wako wale unaokutana nao huko kidimbwi wamejaaliwa ufahamu/intelligence ukiacha matumizi ya nguvu 😜 pasina shaka utafit tu mzee mwenzangu. Ingawa vijana wa kijitonyama nawaelewa sanaSidhani kama nitapaweza huko Mkuu kwani nasikia 'Mafunzo' yao yanahitaji Akili ambazo sina na Nguvu pia ambazo na zenyewe 'sijabarikiwa' nazo.
Kwa mtazamamo wako wale unaokutana nao huko kidimbwi wamejaaliwa ufahamu/intelligence ukiacha matumizi ya nguvu 😜 pasina shaka utafit tu mzee mwenzangu. Ingawa vijana wa kijitonyama nawaelewa sana
Nawakubali kwa utendaji kazi wao. Huoni hata jana msanii diamond alizuiwa kupanda jukwaa kuu la viongozi vijana kwenye protocol wapo njema. Njoo tu hapo sayansi utapata hakuna ya kufika mwenge mzee mwenzanguKwani Kijitonyama kumbe wapo hapo Mkuu? Je, ni sehemu gani gani Kesho nategemea kwenda Kutafuta Chakula cha Mbuzi wangu Mwenge pale.
alishakalili kila siku yeye wa kwanza mmhh leo wa mwisho aiseeeKumekucha
Kila Lenye Mwanzo Lazima Liwe Na Mwisho
Ni hadI arudi October asiporudi wakajiajiriJamani msipige vidongo huyu dogo.
Bwana mkubwa akipata hizi habari anaweza kumrudisha dogo kwenye kiti cha enzi.
Ni hadI arudi October asiporudi wakajiajiri
Amezeeka ghafla,Hana kazi asije dar,Mimi naona huu ni mchezo tu ili election ipite lazima atapewa ubunge! Lakini mwacheni angalau hii miezi miwili apate stress alizokuwa yeye akiwapa wengine!
Afisa kipenyo ndio mtu wa aina gani na kwanini awe kipenyoaisee, wewe unajua intelijensia, hata kama ni afisa kipenyo, kama haupo zamu huingii eneo husika.