Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Ni kweli kabisa Mkuu kama vile ulivyo Wewe Mwenzao hivi. Nikikutafuta ili nami unisaidie niwe sehemu yao utashindwa kweli mwana 'Eagle' Wewe?
Ni company tu mzee mwenzangu mimi hao watu nawaogopa sana. Nenda kule ukajaze fomu huwenda ukapewa/ambulia uafisa kipenyo 😜
 
Ni company tu mzee mwenzangu mimi hao watu nawaogopa sana. Nenda kule ukajaze fomu huwenda ukapewa uafisa kipenyo 😜

Sidhani kama nitapaweza huko Mkuu kwani nasikia 'Mafunzo' yao yanahitaji Akili ambazo sina na Nguvu pia ambazo na zenyewe 'sijabarikiwa' nazo.
 
Sidhani kama nitapaweza huko Mkuu kwani nasikia 'Mafunzo' yao yanahitaji Akili ambazo sina na Nguvu pia ambazo na zenyewe 'sijabarikiwa' nazo.
Kwa mtazamamo wako wale unaokutana nao huko kidimbwi wamejaaliwa ufahamu/intelligence ukiacha matumizi ya nguvu 😜 pasina shaka utafit tu mzee mwenzangu. Ingawa vijana wa kijitonyama nawaelewa sana
 
Ilifikia mahali watu kufikiri jamaa angeweza kuukwaa uwaziri wa mambo ya Ndani ! Muungwana akivuliwa nguo huchutama
 
Bado ana nafasi kubwa ya kuwa mteule awamu ya pili ya Mzee. Namuombea lililo jema kwake
 
Kwa mtazamamo wako wale unaokutana nao huko kidimbwi wamejaaliwa ufahamu/intelligence ukiacha matumizi ya nguvu 😜 pasina shaka utafit tu mzee mwenzangu. Ingawa vijana wa kijitonyama nawaelewa sana

Kwani Kijitonyama kumbe wapo hapo Mkuu? Je, ni sehemu gani gani Kesho nategemea kwenda Kutafuta Chakula cha Mbuzi wangu Mwenge pale.
 
Kwani Kijitonyama kumbe wapo hapo Mkuu? Je, ni sehemu gani gani Kesho nategemea kwenda Kutafuta Chakula cha Mbuzi wangu Mwenge pale.
Nawakubali kwa utendaji kazi wao. Huoni hata jana msanii diamond alizuiwa kupanda jukwaa kuu la viongozi vijana kwenye protocol wapo njema. Njoo tu hapo sayansi utapata hakuna ya kufika mwenge mzee mwenzangu
 
waswahili wanakwambia kuwa maisha ni kama kutembea peku kung"oa ukucha kwa jiwe ni muda wwte ule
 
Mimi naona huu ni mchezo tu ili election ipite lazima atapewa ubunge! Lakini mwacheni angalau hii miezi miwili apate stress alizokuwa yeye akiwapa wengine!
 
Ni hadI arudi October asiporudi wakajiajiri

..mbunge wa kuteuliwa na waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa.

..na ulinzi kuna dili za kimya-kimya za kununua silaha, na mitambo ya jeshi.
 
Mimi naona huu ni mchezo tu ili election ipite lazima atapewa ubunge! Lakini mwacheni angalau hii miezi miwili apate stress alizokuwa yeye akiwapa wengine!
Amezeeka ghafla,Hana kazi asije dar,
Ndumba zikiexpire mbaya sana usiombe
 
Attachments

  • FB_IMG_1598701037519.jpg
    FB_IMG_1598701037519.jpg
    56.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20200829_212831.jpg
    Screenshot_20200829_212831.jpg
    70.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20200830_082014.jpg
    Screenshot_20200830_082014.jpg
    86.8 KB · Views: 4
Baadhi ya Watanzania tuna roho za kutu na wivu wa kitoto, kwani Makonda amewahi kuwa kwaza nini katika maisha yenu ya kila siku, saying of the wise,goes: "Kama huna jambo jema la kuzungumza kuhusu binadamu mwezako, ni vema ukakaa kimya"

Mambo mengine hayana mantiki hata kidogo, mfano: eti Makonda alizuiwa kwenda kuketi jukwaa kuu kama alivyo zoea, hivi hii inaingia akili kweli? Makonda pamoja na experience yake katika masuala ya kiutawala anawezaje kua-attempt blunder kama hiyo - mnatuletea adithi za kutunga tu hapa, mkiwa na lengo la to get even na Makonda, ni hilo tu hakuna lingine. Mtamsema sana na kumzulia mambo mengi tu, lakini every level headed person knows kwamba Makonda ni mchapa kazi, mbunifu, mwajibikaji, mthubutu na si mwoga wa kufanya mahamuzi kila inapo bidi, sasa swali ni: Viongozi wangapi katika awamu ya tano wenye traits za kumfikia Makonda, ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom