Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na alichaguliwa na nani?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama, kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo?

TUMESTUKA!

Screenshot_2023-10-06-16-42-32-1.png
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

View attachment 2773641
Nadhani ni Mnec, Na mwekezaji ,wengine watajazia
 
Ni familia fulani hivi iliyoibuka wakati wa utawala wa awamu ya 4! Na inachokifanya kwa sasa hiyo familia, ni kuendeleza tu pale ilipoishia.

Usisahau pia CHAWA wengi pale Iringa wanaipigia chapuo hiyo familia kulichukua Jimbo la Iringa Mjini 2025 kupitia chama chakavu cha ccm.
 
Wew kaza fuvu tu, ila MNEC huyo kuwa kwenye ziara za viongozi sio jambo geni wala baya, + huyo jamaa anafanya makubwa sana nyanda za juu kwenye ufugaji, anainua wakulima wengi sanaaa, so hata viongozi wakifika lazima kumsabahi mtu kama huyo
Jamaa anaendekeza upinzani muda wote, nadhani kuna jibu lake alitaka kulisikia
 
Ni akili tu mtu wangu
Hapo ASAS kuna mikono ya vigogo kadhaa wanaotumia ASAS kutakatisha fedha zao.

Na hii kuwa kimbelembele kwa public ni kujimwambafai kuwa wamekuwa na wakonjema kiuchumi ili wasitiliwe shaka.
Jamaa wana Malori ya mafuta, Dairy farm, kiwanda cha dairy products, wanauza pipi n.k
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
MNEC na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la mkoa
 
Back
Top Bottom