Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

Nadhani ni Mnec, Na mwekezaji ,wengine watajazia
Chadema hawana mwanachama hata mmoja mwekezaji mkubwa kama ASAS huishia tu kupiga p8rojo wale ruzuku za vyama vya siasa
Chadema hawana ihawana mwanachama mwenyr mpact kubwa TRA na uwekezaji na kutoa ajira nyingi kama ASAS.mwanachama wa.CCM wamejaza maskini na vibaka wala ruzuku tu wakiwrmo akina Mbowe, Tundu Lissu na Mnyika
 
2020 Wafanyabiashara waliounga mkono Chadema jimbo la Kyela walinyang'anywa hadi Chumvi madukani mwao , wengine walifuatwa majumbani , wengine waliokotwa na majeraha makubwa sana na wengine wamepotea hadi leo
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
WA DINI YANGU
 
Anautafuta ubunge 2025
 
Ukiona hivyo ujue siyo msafi. Narudia tena, ukionahivyo ujue ni mpigaji. Maskini hawa matajiri mafisadi hawajui kuwa nchi ikilipuka hata hizo biashara zao zitaenda na maji.
 
Peter Msigwa anamgwaya huyo Mzee kuliko hata mbunge wa sasa Msambatavangu!
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
Ni Zamu ya Waarabu. Huoni hata Rostam aliyedai ameachana na siasa uchwara awamu hii karudi!? Waarabu na Wahindi wanafanya siasa za underground miaka yote. They are here to stay.
 
Kwahiyo wakati Magu anampigia debe Rostam kwamba anafaa kuwa Mbunge wa Morogoro ilikuwa awamu hii?! Yaani unajisahaulisha kwamba ni JPM huyo huyo ndie alizindua maghala ya Taifa Gas kule Kigamboni?!
 
Jibuni maswali tunayouliza .
Tatizo majibu unayopewa huyataki kwa sababu huenda tayari una majibu yako. Na kama tayari una majibu, sasa kuna sababu zipi za kufungua uzi na kuuliza swali ambalo tayari una majibu? Binafsi nimeishi Iringa tangu enzi za JPM, na Mzee Salim yupo hivyo tangu miaka hiyo. Na wala sioni cha ajabu hapo kwa sababu hiyo ndo tabia ya Wafanyabiashara wa Tanzania hususani wenye asili ya Kiasia na Waarabu! Wanapenda kuonesha wao ni CCM Damudamu kama insurance ya biashara zao! Lakini tukiacha siasa pembeni, si tunaambiwa CCM ndio wenye Ilani yao na hao mawaziri ni watekelezaji tu wa hiyo Ilani? Sasa inakushangaza nini kuona m-NEC wa chama tawala anakuwepo kwenye hiyo misafara?
 
Kwanza nabishana na mtoto wa miaka mingapi?we ni mpuuzi nini unashindwa kujua kuwa asas ni mbunge wa ccm na Bashungwa ni waziri wake ukitaka akae wapi na wako mkoani kwake
😆😆😆 yaani viongozi wetu waende Iringa kwa ajili ya Asas ! hii ni protocol ya wapi ?
 
Mwekezaji huyo
Anauza maziwa🤣🤣
Ana ng'ombe wale frester wanatoa maziwa balaa
Ni msomali pia,mjomba ake bashe
 
Ni akili tu mtu wangu
Hapo ASAS kuna mikono ya vigogo kadhaa wanaotumia ASAS kutakatisha fedha zao.

Na hii kuwa kimbelembele kwa public ni kujimwambafai kuwa wamekuwa na wakonjema kiuchumi ili wasitiliwe shaka.
Jamaa wana Malori ya mafuta, Dairy farm, kiwanda cha dairy products, wanauza pipi n.k
Serikali inafanya kazi kwa kushirikiana na sekta binafsi kwa mtindo wa Public Private Partnership aka PPP. Hivyo watu kama akina Asas na Rostam ni wa muhimu kuwepo kwenye ziara za viongozi wa serikali za ndani na nje ya nchi ili kuwezesha biashara za ndani na kimataifa nchini kwetu.
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
Unajua sana unataka kutuchosha tu!
 
Back
Top Bottom