Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

Huyu akiifadhili CHADEMA ataambiwa ni Mshihiri aliyehamia kwa njia za haramu.

Kwahiyo siwashangai Watanzania wenye asili za nje wanaogopa kuwa Black Mailed na Chama cha Majambazi.
Kuna kipindi miaka ya 2000 nilikutana na S. Patel, PriMohamed na Seif "masukari" nikawauliza siri ya mafanikio yao.

Kwa kweli "ya kaisari, mpe kaisari" ndiyo siri kubwa.

Caspian
Nyanza
Azam
Mtibwa
Kagera
Asas
Lake
Motisun
Bagamoyo Sugar
Vodacom
Taifa Gas

Humo mote ni biashara za wakubwa wa nchi,zinaendeshwa na watu hao mnaowajua kama "weupe" .
 
Aiseeeeee !!!!
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
Mfadhili wa chama.

Ili ufanikishe uhuni,wizi na uchafu wa aina yoyote wewe peperusha bendera ya chama flani.

Chunguza vizuri hili iwe ni kwenye biashara,maeneo (cite) ya ujenzi ama uwindaji haramu (MBUNGE wa Kishapu) ni kupeperusha bendera tu.
 
........ Kwahiyo siwashangai Watanzania wenye asili za nje wanaogopa kuwa Black Mailed na Chama cha Majambazi.
Quite the contrary.

Mtu mweupe (na wa manjano, na mchina, na mhindi na mwarabu, yeyote) hajawahi kuwa discriminated and blackmailed hapa Tanzania.

Mtanzania na mtu mweusi kwa ujumla hujinyenyekeza kwa mtu mweupe na wa manjano na mgeni.

Hii kawaida yetu ya kujishusha na kutojithamini inakuwa maradufu mweupe mwenyewe akiwa bilionea. Angalia body language ya Waziri Bashungwa, former Defense Minister, kalegea tepe tepe mbele ya Mhindi sijui Mwarabu Assas.
 
Kuna kipindi miaka ya 2000 nilikutana na S. Patel, PriMohamed na Seif "masukari" nikawauliza siri ya mafanikio yao.

Kwa kweli "ya kaisari, mpe kaisari" ndiyo siri kubwa.

Caspian
Nyanza
Azam
Mtibwa
Kagera
Asas
Lake
Motisun
Bagamoyo Sugar
Vodacom
Taifa Gas

Humo mote ni biashara za wakubwa wa nchi,zinaendeshwa na watu hao mnaowajua kama "weupe" .
Na hao ndio wametawala uchumi wa nchi huku wenye nchi tunatia huruma hatuna hata hela ya kusomesha watoto shule nzuri.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
2020 Wafanyabiashara waliounga mkono Chadema jimbo la Kyela walinyang'anywa hadi Chumvi madukani mwao , wengine walifuatwa majumbani , wengine waliokotwa na majeraha makubwa sana na wengine wamepotea hadi leo
wewe waliokuunga mkono Mbeya walifanywaje?
 
Hii Kampuni nilikutana na Meneja wake Mserbia kipindi hicho akaniambia alikoitoa anasema walianza na Matipa ya mchanga machache na nimetinga kwanye hii Kampuni haikuwa kubwa sijui sasa.

Tuliambiwa Kampuni ya Mabasi SCANDANAVIA ni ya Sumaye

Tuliambiwa LAKE OIL ni ya Lizuwani

Na sasa DP WEDI tunaambiwa ni ya Lizuwani

Tukaambiwa YEPI MERKEZI ni ya Rostum Azizi.

Nadhani kilichokuwa Confirmed ni Maharagande.
 
Back
Top Bottom