mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Kaka , watu matajiri hususan hawa wa asia lazima wawe upande wa serikali ili mambo fulanifulani yao yaende , kumbuka chama ni by product ya communism. Hao kina asas et al. Ndio wale manchurian candidates wa deep state . Ambao kwa namna moja ama nyingine wana influence ya kuamua nani akae au nani asikae pale kitini endapo other factors remains constant.