Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

Kaka , watu matajiri hususan hawa wa asia lazima wawe upande wa serikali ili mambo fulanifulani yao yaende , kumbuka chama ni by product ya communism. Hao kina asas et al. Ndio wale manchurian candidates wa deep state . Ambao kwa namna moja ama nyingine wana influence ya kuamua nani akae au nani asikae pale kitini endapo other factors remains constant.
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
JK=ASAS kama awamu ya 6=4!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
Amakweli sasa hamna hoja hadi mmeamua sasa kujadili watu bada ya issues!!? Chadema sasa mmekwisha.
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
Ni kama yule wa Igunga anayekwepa kutazama tundu la kamera
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
ni muwekezaji mahiri na asie jivunga kuwekeza nchini.
 
Kaka , watu matajiri hususan hawa wa asia lazima wawe upande wa serikali ili mambo fulanifulani yao yaende , kumbuka chama ni by product ya communism. Hao kina asas et al. Ndio wale manchurian candidates wa deep state . Ambao kwa namna moja ama nyingine wana influence ya kuamua nani akae au nani asikae pale kitini endapo other factors remains constant.
Duuuuh !!
 
Ni akili tu mtu wangu
Hapo ASAS kuna mikono ya vigogo kadhaa wanaotumia ASAS kutakatisha fedha zao.
Na hii kuwa kimbelembele kwa public ni kujimwambafai kuwa wamekuwa na wakonjema kiuchumi ili wasitiliwe shaka.
Jamaa wana Malori ya mafuta, Dairy farm, kiwanda cha dairy products, wanauza pipi n.k
Jamaa alipewa pesa nyingi sana na SAGCOT zaidi ya 4Billions ndio akaanzisha akanunua shamba kule njia ya Dodoma na akaanzisha shamba lingine la Afri Farm na sasa anazalisha vyakula na Madawa ya mifugo.
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
WEWE CHADEMA KWANINI UNAUMILIA KIMOYO MOYO NAMNA HIYO?,
 
Hili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?

TUMESTUKA !

View attachment 2773641
Binafsi sijali mtu akijiunga kwenye msafara ili mradi ana mawazo ya kusaidia. Pia umeacha kutoa habari yenyewe pale kuwa wanatafuta ufumbuzi wa tatizo la usafiri wa mwunuko wa Kitonga ambalo ni lango kwenye mikoa ya Kusini Nyanda za juu, pia kwenda nchi za Kusini mwa Tanzania, ukiacha Msumbiji. Katika kushughulikia tatizo lenyewe naona kama hawana suluhu nzuri: Utafiti wa njia fupi ya kwenda Iringa kutokea Mashariki ilifanywa na wakoloni na ilikuwa inapita upande wa kulia kama unaelekea Iringa kupitia Image kama ndege zinavyopita kwenda kutua Kiwanja cha Nduli. Lakini hiyo njia fupi haikuwezekana kwa sababu ingebidi Mlima Selebu utobolewe na teknologia hiyo ilikuwa nadra wakati huo. Serikali ilipopata hela kutoka Japan wakati wa awamu ya tatu ya Mkapa ingeomba Mchina awasaidie namna ya kuishinda Kitonga, hasa ukiona walivyofanya wakati wa ujenzi wa reli ya Tazara, suala hilo lingekuwa lilimalizika na kwa gharama ndogo zaidi. Hata sasa Serikali isifanye kosa tena kama vile Tanzania siyo sehemu ya urithi wa teknologia iliyopo hapa duniani! China ni rafiki wa jadi. Muombeni Balozi wa China alete hata kichwa kimoja tu atawaambia la kufanya badala ya kufikiria njia mchepuko ya kilomita 30, kuvunja mawe au ndoto nyingine. Urefu wa sehemu korofi ni kilomita 12 tu!
 
Back
Top Bottom